Gental herpes

happie_23

New Member
Jul 25, 2019
1
0
Habr za asubuhi...
Samahan mimi ningependa kujua kuhusu gental herpes...
Nina boyfriend wang anahic anatatizo hilo lakn kwa upande wang cjwah ona hiyo kitu wala dalili yyt ..
Je kuna uwezekan wa yy kua nay alaf mm sina??
 
Kuna uzi jana umeletwa humu... Jamaa kashika kichwa cha dushe... Ndio bf wako?

Angalia huo uzi jamaa kapewa ushauri mzuri na wadau..
 
Back
Top Bottom