Mtu yeyote anayengalia na kutambua mambo si kwa kutumia macho yake, bali fikra zake, hakika ataweza kubaini kuwa uamuzi huu wa ICSID ni conspiracy of highest order hatched against JPM by not other than IPTL beneficiaries of the past, including those who scammed the escrow account money. The Britisha Government is chief bankroller, Stan-Chart Hong Kong is the pay master, Rostam Aziz is the archtect whereas Zitto, Mkono and other funny MPs are mere henchmen preying on the British (Dar es Salaam) payroll. But to the best of my knowledge, for sure JPM Government will simply dishonour. Ni kweli Habinder ni jizi, lakini hata kama hilo jizi lisingekuwa limefanya uwakala kuliibia taifa kwa kushirikiana na majizi mengine katika serikali ya mwaka jana, kundi la Zitto na wenzake lingekuwa bado linashinikiza Tanzania ikubaliane na madai ya kitapeli ya SC-HK. Hili nalo ni genge jingine tunalotakiwa kuliagalia. Malengo ya genge hili kwa sasa ni kushinikiza serikali ya JPM ilipe hao matapeli wa Ulaya/Mashariki ya Mbali ili genge husika liweze kuvuna mara mbili; kupata posho ya uwakala wao; na pili, kujinufaisha kisiasa. Kwa hiyo, Serikali iki-dishonour kulipa, hili genge lita-suffer mara mbili.