Daaah nyie ndio raisi Rodrigo duterte anawapiga shaba.... Kuwa na mwanachi kama wewe no bora uwe na miashoki uwani utapunga upepo
Kuna Mtu huwa anagusisha Kitovu chake mgongoni kwako kabla hujapunga Upepo kwny Miashok yako uani?
Daaah nyie ndio raisi Rodrigo duterte anawapiga shaba.... Kuwa na mwanachi kama wewe no bora uwe na miashoki uwani utapunga upepo
Unaonekana wewe ni Wa kula kulala hujui nchi inavyoendaKuna Mtu huwa anagusisha Kitovu chake mgongoni kwako kabla hujapunga Upepo kwny Miashok yako uani?
Unaonekana wewe ni Wa kula kulala hujui nchi inavyoenda
Nawashangaa sana watu wanaomhusudu mtu ambaye ni kinyonga.
Arudishe kwanza hela zetu alizochota nssf.
Na aachane na hela zetu, Fao la kujitoa halimhusu na asikaribu kufanya lobbying za kikongolese hapa.
Hivi yeye akiambiwa ubunge ukiisha asubiri mpaka afikishe 60yrs ataweza.
Zitto Zitto amekugusa ukagusika sasa unaanza kumtukana.Zitto ana Personal conflict of interest na IPTL na kina Seth, kudhulumiana kwake na kina Ruge asifanye kuwa ni mzozo wa Taifa!
Yeye Mwenyewe anamulikwa na umeme wa IPTL nyumban kwake lakin bado anajifanya haoni kazi ya IPTL.
Tanesco inanunua umeme kwa Wazabuni wengi sana na anajua kabisa IPTL ndio mzabuni anaeuza umeme wake Tanesco kwa bei nafuu zaidi lakin kwa kuwa IPTL hawataki kutoa rushwa kwa kina Zitto sasa kageuza ugomvi wa Kimsalahi kuwa ugomvi wa kitaifa!
1994 wakati IPTL wanaingia nchini Zitto alikuwa kwao Kigoma anatoa Funza vidoleni Leo anajifanya anaijua sana IPTL, mbona Wapinzani wenzie kina Mbowe, Lowassa na Mbatia wamepiga Kimya au anataka aonekane yeye ni Mzalendo kuliko Wanasiasa wote!
Kihelehele chake huko Chadema ndio kilimfukuzisha lakini bado hajajifunza kitu!
Apunguze kwanza Viporo mezani, majina ya Uswiss kachoma Moto orodha baada ya wadau kufika bei!
Barbaric commentZitto ana Personal conflict of interest na IPTL na kina Seth, kudhulumiana kwake na kina Ruge asifanye kuwa ni mzozo wa Taifa!
Yeye Mwenyewe anamulikwa na umeme wa IPTL nyumban kwake lakin bado anajifanya haoni kazi ya IPTL.
Tanesco inanunua umeme kwa Wazabuni wengi sana na anajua kabisa IPTL ndio mzabuni anaeuza umeme wake Tanesco kwa bei nafuu zaidi lakin kwa kuwa IPTL hawataki kutoa rushwa kwa kina Zitto sasa kageuza ugomvi wa Kimsalahi kuwa ugomvi wa kitaifa!
1994 wakati IPTL wanaingia nchini Zitto alikuwa kwao Kigoma anatoa Funza vidoleni Leo anajifanya anaijua sana IPTL, mbona Wapinzani wenzie kina Mbowe, Lowassa na Mbatia wamepiga Kimya au anataka aonekane yeye ni Mzalendo kuliko Wanasiasa wote!
Kihelehele chake huko Chadema ndio kilimfukuzisha lakini bado hajajifunza kitu!
Apunguze kwanza Viporo mezani, majina ya Uswiss kachoma Moto orodha baada ya wadau kufika bei!
Hata wezi husaidia kukamatwa kwa wezi wengine. Tukubali kuna utapeli wa kudumu.Tatizo hana maslahi hapo angekuswa mfadhili wake dau angebaki bubu tu
Zitto ana Personal conflict of interest na IPTL na kina Seth, kudhulumiana kwake na kina Ruge asifanye kuwa ni mzozo wa Taifa!
Yeye Mwenyewe anamulikwa na umeme wa IPTL nyumban kwake lakin bado anajifanya haoni kazi ya IPTL.
Tanesco inanunua umeme kwa Wazabuni wengi sana na anajua kabisa IPTL ndio mzabuni anaeuza umeme wake Tanesco kwa bei nafuu zaidi lakin kwa kuwa IPTL hawataki kutoa rushwa kwa kina Zitto sasa kageuza ugomvi wa Kimsalahi kuwa ugomvi wa kitaifa!
1994 wakati IPTL wanaingia nchini Zitto alikuwa kwao Kigoma anatoa Funza vidoleni Leo anajifanya anaijua sana IPTL, mbona Wapinzani wenzie kina Mbowe, Lowassa na Mbatia wamepiga Kimya au anataka aonekane yeye ni Mzalendo kuliko Wanasiasa wote!
Kihelehele chake huko Chadema ndio kilimfukuzisha lakini bado hajajifunza kitu!
Apunguze kwanza Viporo mezani, majina ya Uswiss kachoma Moto orodha baada ya wadau kufika bei!
Nahisi mara hii tutawafahamu hata waliobeba pesa kwenye viroba na lumbesa. Yule singa singa naamini aliruhusiwa na watunza pesa zetu na lazima walimuongoza jinsi ya kuzichota.Rais Magufuli aonyeshe hasira zake dhidi ya Ufisadi kwenye huu ufisadi mkongwe wa IPTL.
Nimesoma ' arbitral award ' ambayo Benki ya Standard chartered wametunukiwa na ICSID ( case no. ARB/10/20 ) na kuumizwa sana kutokana na kwamba hoja zote ambazo zimetumika kuwapa ushindi SCB ndizo Kamati ya PAC ilizijenga kwenye Taarifa yake Maalumu iliyopitishwa na Bunge na kutolewa maazimio 8. Ndio hoja hizo hizo zilibezwa na Serikali chini ya Waziri Sospeter Mwijarubi Muhongo na umma kuambiwa kuwa TANESCO hawatakuwa na madai dhidi Yao.
Mahakama hii ( tribunal ) ya ICSID imethibitisha maonyo ya PAC kwamba hasara Kwa Nchi kwenye kashfa ya [HASHTAG]#TegetaEscrow[/HASHTAG] itakuwa Ni mara mbili ya Fedha zilizochotwa kwani mwenye Mali akijulikana tutapaswa kumlipa tena. Tulimpa Harbinder Singh Seth tshs 306 bilioni na tunapaswa kuwalipa SCB tshs 320 bilioni. Jumla tshs 626 bilioni. Na bado tunamlipa Seth kila Mwezi $4m Kwa umeme wa mtambo alioupata kitapeli.
ICSID imesema IPTL Ni Mali ya Standard Chartered Bank.
Rais John Magufuli ana fursa ya kihistoria kumaliza kabisa huu mtandao wa wizi na utapeli uliodumu toka mwaka 1995.
Kumbe ukiongea ukweli unakuwa kihehere.???Zitto ana Personal conflict of interest na IPTL na kina Seth, kudhulumiana kwake na kina Ruge asifanye kuwa ni mzozo wa Taifa!
Yeye Mwenyewe anamulikwa na umeme wa IPTL nyumban kwake lakin bado anajifanya haoni kazi ya IPTL.
Tanesco inanunua umeme kwa Wazabuni wengi sana na anajua kabisa IPTL ndio mzabuni anaeuza umeme wake Tanesco kwa bei nafuu zaidi lakin kwa kuwa IPTL hawataki kutoa rushwa kwa kina Zitto sasa kageuza ugomvi wa Kimsalahi kuwa ugomvi wa kitaifa!
1994 wakati IPTL wanaingia nchini Zitto alikuwa kwao Kigoma anatoa Funza vidoleni Leo anajifanya anaijua sana IPTL, mbona Wapinzani wenzie kina Mbowe, Lowassa na Mbatia wamepiga Kimya au anataka aonekane yeye ni Mzalendo kuliko Wanasiasa wote!
Kihelehele chake huko Chadema ndio kilimfukuzisha lakini bado hajajifunza kitu!
Apunguze kwanza Viporo mezani, majina ya Uswiss kachoma Moto orodha baada ya wadau kufika bei!
StanChart accused over $100m African ‘dirty debt’
usimjadili Zitto Kabwe zumgumzia IPTL na deni la Tanesco. yaani hamko serious hata kwenye mambo sensitive mnaingiza siasa.shame on you!Tatizo hana maslahi hapo angekuswa mfadhili wake dau angebaki bubu tu
Nazani ulishuhudia mjadala huo bungeni.mheshimiwa ana makinda aliongoza mjadala mpaka usiku na suluhisho ulitolewa.unazani billion 300 mheshiwa rais angenunua ndege ngapi za bombardier.kwani hapo si tungeeshimika? Saa tunaeshimika kwa kulipa deni.Mheshimiwa zitto ungetoa solution nini cha kuanza kufanya. Naona kama hujaenda moja kwa moja nini rais afanye kwa kuwa wewe unajua. Kama ishu ni kufukuza kazi mtu haisababishi tusilipe kwa mtazamo wako.
Mkuu nimekuelewa huyu jamaa na yeye ni ukwapuajiNawashangaa sana watu wanaomhusudu mtu ambaye ni kinyonga.