Haya ni maji marefu.TULIENI magufuli atawashugulikia walitoa hasara nchi kwa u taratibu uleule uliowashglikia Akina Yona na Mramba.

Kaka hoja kwanza umeielewa? Je kuna point za msingi au hakuna? Tukiacha makandokando ya mtoa hoja.Zitto ana Personal conflict of interest na IPTL na kina Seth, kudhulumiana kwake na kina Ruge asifanye kuwa ni mzozo wa Taifa!
Yeye Mwenyewe anamulikwa na umeme wa IPTL nyumban kwake lakin bado anajifanya haoni kazi ya IPTL.
Tanesco inanunua umeme kwa Wazabuni wengi sana na anajua kabisa IPTL ndio mzabuni anaeuza umeme wake Tanesco kwa bei nafuu zaidi lakin kwa kuwa IPTL hawataki kutoa rushwa kwa kina Zitto sasa kageuza ugomvi wa Kimsalahi kuwa ugomvi wa kitaifa!
1994 wakati IPTL wanaingia nchini Zitto alikuwa kwao Kigoma anatoa Funza vidoleni Leo anajifanya anaijua sana IPTL, mbona Wapinzani wenzie kina Mbowe, Lowassa na Mbatia wamepiga Kimya au anataka aonekane yeye ni Mzalendo kuliko Wanasiasa wote!
Kihelehele chake huko Chadema ndio kilimfukuzisha lakini bado hajajifunza kitu!
Apunguze kwanza Viporo mezani, majina ya Uswiss kachoma Moto orodha baada ya wadau kufika bei!
Rais Magufuli aonyeshe hasira zake dhidi ya Ufisadi kwenye huu ufisadi mkongwe wa IPTL.
Nimesoma ' arbitral award ' ambayo Benki ya Standard chartered wametunukiwa na ICSID ( case no. ARB/10/20 ) na kuumizwa sana kutokana na kwamba hoja zote ambazo zimetumika kuwapa ushindi SCB ndizo Kamati ya PAC ilizijenga kwenye Taarifa yake Maalumu iliyopitishwa na Bunge na kutolewa maazimio 8. Ndio hoja hizo hizo zilibezwa na Serikali chini ya Waziri Sospeter Mwijarubi Muhongo na umma kuambiwa kuwa TANESCO hawatakuwa na madai dhidi Yao.
Mahakama hii ( tribunal ) ya ICSID imethibitisha maonyo ya PAC kwamba hasara Kwa Nchi kwenye kashfa ya [HASHTAG]#TegetaEscrow[/HASHTAG] itakuwa Ni mara mbili ya Fedha zilizochotwa kwani mwenye Mali akijulikana tutapaswa kumlipa tena. Tulimpa Harbinder Singh Seth tshs 306 bilioni na tunapaswa kuwalipa SCB tshs 320 bilioni. Jumla tshs 626 bilioni. Na bado tunamlipa Seth kila Mwezi $4m Kwa umeme wa mtambo alioupata kitapeli.
ICSID imesema IPTL Ni Mali ya Standard Chartered Bank.
Rais John Magufuli ana fursa ya kihistoria kumaliza kabisa huu mtandao wa wizi na utapeli uliodumu toka mwaka 1995.
Alaaa kumbe huu ulikuwa ugomvi binafsi wa Zitto na IPTL.. Sasa Magufuli kauchukua ugomvi wa mtu binafsi ili iweje? Au ndio yale mambo ya Jakaya na EPA na kuwakamata kina Jeetu Patel?Zitto ana Personal conflict of interest na IPTL na kina Seth, kudhulumiana kwake na kina Ruge asifanye kuwa ni mzozo wa Taifa!
Yeye Mwenyewe anamulikwa na umeme wa IPTL nyumban kwake lakin bado anajifanya haoni kazi ya IPTL.
Tanesco inanunua umeme kwa Wazabuni wengi sana na anajua kabisa IPTL ndio mzabuni anaeuza umeme wake Tanesco kwa bei nafuu zaidi lakin kwa kuwa IPTL hawataki kutoa rushwa kwa kina Zitto sasa kageuza ugomvi wa Kimsalahi kuwa ugomvi wa kitaifa!
1994 wakati IPTL wanaingia nchini Zitto alikuwa kwao Kigoma anatoa Funza vidoleni Leo anajifanya anaijua sana IPTL, mbona Wapinzani wenzie kina Mbowe, Lowassa na Mbatia wamepiga Kimya au anataka aonekane yeye ni Mzalendo kuliko Wanasiasa wote!
Kihelehele chake huko Chadema ndio kilimfukuzisha lakini bado hajajifunza kitu!
Apunguze kwanza Viporo mezani, majina ya Uswiss kachoma Moto orodha baada ya wadau kufika bei!
Watu na Chuki zao dhidi ya Zitto lkn ukweli unaonekanaAlaaa kumbe huu ulikuwa ugomvi binafsi wa Zitto na IPTL.. Sasa Magufuli kauchukua ugomvi wa mtu binafsi ili iweje? Au ndio yale mambo ya Jakaya na EPA na kuwakamata kina Jeetu Patel?
Hii hatariNawashangaa sana watu wanaomhusudu mtu ambaye ni kinyonga.
Arudishe kwanza hela zetu alizochota nssf.
Na aachane na hela zetu, Fao la kujitoa halimhusu na asikaribu kufanya lobbying za kikongolese hapa.
Hivi yeye akiambiwa ubunge ukiisha asubiri mpaka afikishe 60yrs ataweza.
Kifupi sehemu ya fedha za escrow ndizo zilitumika kumuingiza Pogba madarakani ingawa aliwahi kusema hakupata mchango wa yeyote uliyomuwezesha kutua ikulu. Na kashfa hii haina tofauti na kashfa ya EPA. Iwapo kesi hii itaamuliwa tofauti na matarajio ya wengi ndiyo itakuwa tiketi ya Pogba kung'oka ikulu 2020 ingawa upo uwezekano mkubwa wa kuondoshwa kwa sabb nyingineRais Magufuli aonyeshe hasira zake dhidi ya Ufisadi kwenye huu ufisadi mkongwe wa IPTL.