Genius only: Who is the killer?

Namba 3 ndio muuaji.

Mauaji yamefanyika choo cha kike

huyo aliyevaa mtanduo namba 3 ndio mtu

pekee mwenye uwezo wa ku access kuingia

choo cha kike.
Nop, sio no 3 maana alie uwawa amechomwa na kisu, na kipo pembeni yake, no 4 hana kisu mezani, ndo muuaji
 
Nop, sio no 3 maana alie uwawa amechomwa na kisu, na kipo pembeni yake, no 4 hana kisu mezani, ndo muuaji
Na pia no 4 kavaa shati nyekundu ili isiwe rahisi kuona madoa ya damu incase yakimrukia wakati wa mauaji hayo
 
Fumbo kama hili inabidi utoe ushahidi kwa nini 3 awe muuaji na sio 4, au kwa nini 3 awe muuaji na sio 4.

Ushahidi wa haraka unaonesha kisu kwenye eneo la tukio ikiashiria kuwa muuaji ni 4 ambaye hana kisu lakini wakati huohuo mauaji yametokea wc ya kike ikiashiria muuaji ni 3 ambaye ni mwanamke pekee kwenye sehemu hiyo.

Ili kupata uhakika nani muhusika kuna hints ambazo zipo hapo, sahani ambayo haina chakula ikimaanisha mwanamke(3) ni wa kwanza kufika kabla ya 4 ambaye bado anakula.

3 alitumia begi lake kuchukua na kuficha kisu cha 4, akaenda kufanya mauaji na kurudi akisahau kufunga begi. ikumbukwe wakati kisu kinachukuliwa 4 alikua hajafika.
 
Mleta swali kama unalo jibu lilete haraka kuepusha ugomvi. Nadhani ni muda muafaka sasa wa kupata jibu sahihi. Kitendawili kikikaa muda mrefu bila kuteguliwa uchosha.
 
Ni chuki ya cartoonist na vazi la hijabu kwa wanawake wa kiislamu.....

In short, anamaanisha namba 3 ni Gaidi...!!

Akili ya kuambiwa changanya na ya kwako...!!

Pambana na hali yako...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
no 3 sababu ya kwanza yeye ndo anaweza kuingia choo cha kike na sababu ya pili katumia uma wake wa kwenye sahani kufanyia mauaji hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…