Utotole
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 6,608
- 4,266
― Genghis Khan
Je unakubaliana na Khan kwamba:
-Ni ngumu kabisa kumpata mtu asiyekata kilaji?
-Ni kweli mtu wa aina hii (kama yupo) anastahili heshima kubwa?
mtawala wa zama za kale kutoka Mongolia na shujaa mkuubwa sana, jeshi lake lilikuwa likipita maadui wananguka kama nyasindio nani huyu Khan...?