generous tax holidays and export subsidies | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

generous tax holidays and export subsidies

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Remmy, Dec 7, 2009.

 1. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #1
  Dec 7, 2009
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,718
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  let us talk about tanzanian policy of attracting investors kwa hii policy inayosema wanasamehe kodi kwa miaka 5 kwa kampuni itayowekeza kama itaomba msamaha huo, the worse ni kwamba after miaka 5 the kampuni inabadili jina na kuomba msamaha upya as the new kampuni na mwekezaji mwingine, utasikia leo mobitel kesho Tigo, keshokutwa jina lingine kwa madai imeuzwa, kwani ikiuzwa jina likibaki lilelile ni tatizo? hii yote ni janja yao ya kukimbia kodi. sasa najiuliza tunapata nini from our investors?
  haya na hii ya kuwawekea subsidies kwa vitu vyetu wanavyotuibia, na kutunyonya, wakati vitu vyao wanatuuzia kwa bei kali sana mfano tukienda supermarket vitu vyao too expensive eti madai yao ni quality. Wakati huko kwao vishakuwa second hand and they dump to us. why Tanzania? wahy bad policies?
  I HATE THE POLICY VERY MUCH AND IT SHOULD BE CHANGED IF NOT ABOLISHED
   
Loading...