Generator jipya (Honda) 5kva (5000w) kwa TZS 2,557,000/=

Generator jipya (Honda) 5kva (5000w) kwa TZS 2,557,000/=

mwajanuzaj

Member
Joined
Sep 4, 2014
Posts
22
Reaction score
3
Nauza Generator jpya halijatumika ni aina ya HONDA 5KVA, inatumia Petrol kwa milion mbili laki tano na hamsini na saba elfu (TSH 2,557,000/=)
Sababu ya kuliuza bila kutumia ni kuhitaji kufunga backup ya solar baadala ya kutumia generator.
Nipo dar es salaam.
Wasiliana namimi 0714373488

IMG_4921.JPG
 
Back
Top Bottom