Generator and Motor Special Thread

Thanks ntashukuru kama ntapata na Volume 1 mana hio ni 2 na imeanzia Topic ya 26

Nitakutafutia volume 1 soft copy. Sijajua nilipoiweka ktk library yangu ya ebooks. Nikiipata nitai upload hapa hapa
 
Ngoja uchaguz upite tuhamie hapa.
 
Duh huku nimeingia chaka nilifikiri ningekuta na Managerial & Cost Accounting Larry W.
 
Duh huku nimeingia chaka nilifikiri ningekuta na Managerial & Cost Accounting Larry W.

Mkuu chaka umeingia kwa kupenda kabisaaaa. Maana umeisoma title ya UZI and yet ukatia timu, finally unajilaumu kwa kuingia chaka... Ahahahahahaaa
 
Wakuu Election imepita njoeni tudiscuss
 
Wakuu hivi kuna tofauti gani kati ya
Soft starter na Variable Frequency Drives?
Hebu tukumbushane na similarities zake kama zipo.
 
Soft copy mie ninayo. Siku hizi wame igawa kwenye section 2. Maana moja tu kilikuwa ni mzigo hasa kwenye hard copy.
Sawa mkuu ukipata wasaa upload apa basi
 
Softcopy ninayo mkuu. Isitoshe hata mimi ni MJUMBE kama wewe, nadhani nyinyi ndio waanzilishi wa KIZOTA.
 
kumbe ulishawai pita hadi kilombero sugar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…