Generator and Motor Special Thread

Thanks ntashukuru kama ntapata na Volume 1 mana hio ni 2 na imeanzia Topic ya 26

Nitakutafutia volume 1 soft copy. Sijajua nilipoiweka ktk library yangu ya ebooks. Nikiipata nitai upload hapa hapa
 
Duh huku nimeingia chaka nilifikiri ningekuta na Managerial & Cost Accounting Larry W.
 
Duh huku nimeingia chaka nilifikiri ningekuta na Managerial & Cost Accounting Larry W.

Mkuu chaka umeingia kwa kupenda kabisaaaa. Maana umeisoma title ya UZI and yet ukatia timu, finally unajilaumu kwa kuingia chaka... Ahahahahahaaa
 
Wakuu hivi kuna tofauti gani kati ya
Soft starter na Variable Frequency Drives?
Hebu tukumbushane na similarities zake kama zipo.
 
Hard copy mimi nilikinunua Tshs 40,000/- Mwaka 1998 pale tancot opposite na kituo cha mafuta Oryx iliyoko nyuma ya new Africa hotel... Sijui bei ya leo. Na kukipata ilikuwa ishu kidogo.. Jamaa unawapamoda leo, na walidai walikuwa wanaagiza Nairobi... BUT THAT WAS THEN... Ulizia pale

Softcopy ninayo mkuu. Isitoshe hata mimi ni MJUMBE kama wewe, nadhani nyinyi ndio waanzilishi wa KIZOTA.
 
Start-Delta, DOL, kufuma motor (kama unajuwa slots 2-4, 2-8) nimefanya sana pale Kilombero Sugar K1 wakati nasoma FTC Mbeya Tech.... Maana tulikuwa tunakwenda viwandani kwa ajili ya mazoezi... Nilishafanya Pasua kule Moshi pale kiwanda cha magunia (RIP), TBL Dar wakati wanaweka line mpya 1998 nikiwa UDSM, nishayafanya installation mno... Halafu Kwa sasa kuna soft electronic starters, hayo... Ingawa Star-Delta bado sipo mitaani kwenye mashine za kusaga, Jaw crushers, conveyor belts.. etc

kumbe ulishawai pita hadi kilombero sugar
 
Back
Top Bottom