William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,466
- Kila ninapoangalia tulikotokea hili Taifa, ninapatwa wasi wasi sana kwamba hatukufika hapa tulipo kwa makosa, tumefanya makosa mengi sana nyuma in terms of policies mpaka leo hii kurekebisha inakuwa ni almost impossible, ingawa watawala wa sasa wanajitahidi sana.
William,
Badala ya kuspeculate na kutoa lawama kwa sera za Tanzania chini ya Mwalimu nakushauri uwe na uzoefu wa kusoma kwanza vitabu. Kwanza kabisa napendekeza kitabu "The International Politics of the Nigerian Civil War, 1967-197 kilichoandikwa na John. J. Stremlau. Halafu njoo tujadilie vita vya Nigeria.
Sio watanzania waliokuwa wanamuunga mkono General Odumegwu Ojukwu,Mwl Nyerere ndio alikuwa anamuunga mkono swaiba wake huyo ambaye mwaka 1967 walijitangazia Taifa lao la Biafra huko Nigeria...Mwl Nyerere alikuwa hawapatani na Meja General Yakubu Gowon. ambaye alikuwa akiongoza Serikali ya shirikisho
Policies sio msaafu, zinawekwa ama kubadilishwa kutokana na mazingira ya mahali fulani na kwa nyakati fulani. Sina hakika kama umesoma historia ya Nigeria kikamilifu kabla ya kuona policy ya Tanzania kwa wakati huo. Hivyo nakushauri upitie tena upya na sio tu Nigeria bali what exactly was going on in other parts of Africa na ukipata wasaa strech futher by reading siasa za mataifa makubwa kwa wakati huo.
Wewe ulikuwepo enzi hizo? Huwezi kusema kuwa sio Watanzania waliokuwa wanamuunga mkono Ojukwu. Nilikuwepo na nilikuwa mwanafunzi enzi hizo na tuliandamana kuunga mkono uamuzi wa Biafra kujitenga. Katika suala la vita vya Nigeria mimi naweza kujiita authority hapa JF. Leta hoja nyingine.
- Noamba nikuelewe unasema kwamba hicho kitabu kina majibu ya why we were right kuunga mkono uasi against the Federation? Is that right?
William.
- Soma tena kichwa cha mada, too many wrong policies za the past zinasema nini kuhusu tulipo sasa as a nation?
William.
Wewe ulikuwepo enzi hizo? Huwezi kusema kuwa sio Watanzania waliokuwa wanamuunga mkono Ojukwu. Nilikuwepo na nilikuwa mwanafunzi enzi hizo na tuliandamana kuunga mkono uamuzi wa Biafra kujitenga. Katika suala la vita vya Nigeria mimi naweza kujiita authority hapa JF. Leta hoja nyingine.
- Noamba nikuelewe unasema kwamba hicho kitabu kina majibu ya why we were right kuunga mkono uasi against the Federation? Is that right?
William.
Mkimaliza ya Biafra ni vizuri kutueleza ni kwa nini Bernard Membe alitoa msimamo wa Tanzania kuwa halitambui Baraza la Libya lilimng'owa Gaddafi wakati mabwana wakubwa wanaotulisha G8 walishalitambuwa lile Baraza, je mpaka leo Tanzania haijui sera yake ya mambo ya nje?