"General Mkunda wewe ndio uliyebakia" - Augustino Polepole

Utatawaongozaje watu unaowaua na hapo hapo kuwalazimisha wakukubali, wakupigie makofi kama kiongozi wao.It's wicked!!
Nchi ina watu 70m,wahuni wa vurugu hawafiki hata milioni
 

Mkuu umeeleza vyema.

Lkn binafsi nafikiri viongozi hawana shida, Shida ilianza walipoa amua kukabidhi chama kwa mabwenyenye.

Maamuzi mengine ni ya mabwenyenye, hawataki wapinzani serious waingie kwenye serikali waje waharibu maslai yao ya kudumu
 
Ndiyo kwaanza wanamfungulia Heche kesi ya kubuma. Ndiyo kwanza, wanaona tatizo ni Mange Kimambi na siyo wao. Sikiliza: ulevi wa madaraka ni mbaya sana sana sana. Unashinda vilevi vyooote duniani na madhara yake ni makubwa mno hasa pale wanapolewa watu wasio na uwezo wa kuongoza.
 
Kanali gani huyo anapost hovyo hovyo kama Mange Kimambi? Hadhi ya ukanali inashushwa sana.
 
It too late for reconciliation. Damu ishamwagika mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…