"General Mkunda wewe ndio uliyebakia" - Augustino Polepole

Utatawaongozaje watu unaowaua na hapo hapo kuwalazimisha wakukubali, wakupigie makofi kama kiongozi wao.It's wicked!!
Nchi ina watu 70m,wahuni wa vurugu hawafiki hata milioni
 
Nimesikiliza hiyo clip YouTube!
Kifupi Kwa Sasa taiga limegawanyika sana!na Damu iliyomwagika imehalalisha kumwagika Tena kwa movement hizo hizo zilizosababisha damu kumwagika!

Nachelea kuandika!

Ccm chama changu lazima tukubali kwamba tumekua nyuma ya wakati,katiba mpya ilipaswa iwe imeshakamilika tangu mkapa anaachia nchi!

Walau kama tunaogopa kupoteza Dola ni Bora tungejificha kwenye serikali ya umoja was kitaifa walau kuhodhi upinzani kuliko ilivyo sasa!!

Damu ni nzito sana,

NAMUOMBA MWENYEKITI AITISHE KIKAO CHA DHARURA NA UPINZANI NCHINI UPINZANI WA KWELI UNAOJULIKANA SIO HUO WA KUOAKA RANGI,WAONGEE WAJUE WAY FORWARD!

SPINNING NI NJIA NZURI SANA KULIKO RISASI NA MABAVU PLUS GEREZA MARA NYINGI NIMESISITIZA HUMU!

ILANI INAJIELEZA "KAZI NA UTU" SASA UTU HUO UKOWAPI COMRADES!!?

Mkuu umeeleza vyema.

Lkn binafsi nafikiri viongozi hawana shida, Shida ilianza walipoa amua kukabidhi chama kwa mabwenyenye.

Maamuzi mengine ni ya mabwenyenye, hawataki wapinzani serious waingie kwenye serikali waje waharibu maslai yao ya kudumu
 
Nimesikiliza hiyo clip YouTube!
Kifupi Kwa Sasa taiga limegawanyika sana!na Damu iliyomwagika imehalalisha kumwagika Tena kwa movement hizo hizo zilizosababisha damu kumwagika!

Nachelea kuandika!

Ccm chama changu lazima tukubali kwamba tumekua nyuma ya wakati,katiba mpya ilipaswa iwe imeshakamilika tangu mkapa anaachia nchi!

Walau kama tunaogopa kupoteza Dola ni Bora tungejificha kwenye serikali ya umoja was kitaifa walau kuhodhi upinzani kuliko ilivyo sasa!!

Damu ni nzito sana,

NAMUOMBA MWENYEKITI AITISHE KIKAO CHA DHARURA NA UPINZANI NCHINI UPINZANI WA KWELI UNAOJULIKANA SIO HUO WA KUOAKA RANGI,WAONGEE WAJUE WAY FORWARD!

SPINNING NI NJIA NZURI SANA KULIKO RISASI NA MABAVU PLUS GEREZA MARA NYINGI NIMESISITIZA HUMU!

ILANI INAJIELEZA "KAZI NA UTU" SASA UTU HUO UKOWAPI COMRADES!!?
Ndiyo kwaanza wanamfungulia Heche kesi ya kubuma. Ndiyo kwanza, wanaona tatizo ni Mange Kimambi na siyo wao. Sikiliza: ulevi wa madaraka ni mbaya sana sana sana. Unashinda vilevi vyooote duniani na madhara yake ni makubwa mno hasa pale wanapolewa watu wasio na uwezo wa kuongoza.
 
Kanali gani huyo anapost hovyo hovyo kama Mange Kimambi? Hadhi ya ukanali inashushwa sana.
 
Nimesikiliza hiyo clip YouTube!
Kifupi Kwa Sasa taiga limegawanyika sana!na Damu iliyomwagika imehalalisha kumwagika Tena kwa movement hizo hizo zilizosababisha damu kumwagika!

Nachelea kuandika!

Ccm chama changu lazima tukubali kwamba tumekua nyuma ya wakati,katiba mpya ilipaswa iwe imeshakamilika tangu mkapa anaachia nchi!

Walau kama tunaogopa kupoteza Dola ni Bora tungejificha kwenye serikali ya umoja was kitaifa walau kuhodhi upinzani kuliko ilivyo sasa!!

Damu ni nzito sana,

NAMUOMBA MWENYEKITI AITISHE KIKAO CHA DHARURA NA UPINZANI NCHINI UPINZANI WA KWELI UNAOJULIKANA SIO HUO WA KUOAKA RANGI,WAONGEE WAJUE WAY FORWARD!

SPINNING NI NJIA NZURI SANA KULIKO RISASI NA MABAVU PLUS GEREZA MARA NYINGI NIMESISITIZA HUMU!

ILANI INAJIELEZA "KAZI NA UTU" SASA UTU HUO UKOWAPI COMRADES!!?
It too late for reconciliation. Damu ishamwagika mkuu.
 
Back
Top Bottom