"General Mkunda wewe ndio uliyebakia" - Augustino Polepole

JOANNA

Senior Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
112
Reaction score
355
Augustino Polepole ambaye katika jumbe zilizopita amejiwakilisha kama Kanali wa NATO, amemtumia ujumbe General Mkunda.

Katika taarifa yake amezungumza mambo mengi ya binafsi na yamkini mengine ni codes ambazo hatuwezi kuzielewa. Lakini ninafikiri sauti yake ni muhimu katika kipindi hichi kigumu ambacho taifa linatafuta watu au viongozi wa kuwaamini japo kidogo baada ya kusalitiwa na serikali.

Baada ya mauaji makubwa yaliyotokea Kanali Augustino polepole ambaye ndugu yake, Humphrey Polepole ametekwa na serikali ya Tanzania bado anaamini General Mkunda ndiye Baba aliyebakia na ana nafasi kubwa ya kulikomboa taifa letu.

Wengi wetu tumaini hili lilikwisha baada ya ndugu zetu kuuliwa na Polisi na General Mkunda kushindwa kuwatetea na kuwalinda.

Je, ni lipi Kanali Augustino Polepole analoliona kwa Mkunda hata kusema yeye ni Baba aliyebakia? Nimenukuu baadhi ya maneno yake hapa

“General Mkunda bado unayo nafasi you need to stand as a father of the family wewe ndio uliyebakia.Stand up as a man of the family…achana na ujinga ..Kama wewe ni mnufaika it will cost you big time.Na ukija ICC utanikuta..but brother you have a chance. Mimi nimeishi jeshini Tanzania.

Brother ukientertain wahuni it will cost you big time.Fanya mambo chapchap uchumi,jamii mambo yaendelee watu wasiendelee kufa brother.

Wewe ni Mkristo hizi damu zinakuhusu.Brother umeenda Sunday school, ukwata, casfeta .….Brother kama ni fadhila unalipa it will cost you big time.” Augustino Polepole

Sijui Kanali Polepole anaona nini katika haya aliyoyasema lakini kama ni kweli General Mkunda una uwezo wa kusaidia kizazi chetu cha Tanganyika lakini unalipa fadhila sababu ulinunuliwa, tafadhali amka.

Augustino amesema wewe ni mkristo, nenda mbele za Mungu tubu kwa kununuliwa na kuuza haki za watanzania.Mungu ni mwenye huruma atakusamehe.

Ukifanya hivyo Mungu atakupa hekima na uwezo wa kile unapaswa kufanya katika kipindi hiki kigumu kuwahi kutokea katika historia ya taifa letu.Tupo hatarini na wewe binafsi upo hatarini.

Ripoti za baadhi ya wale watu waliovalia kiraia na kuwaua ndugu zetu, watu wameanza kutoa identity zao kwenye mitandao na baadhi yao wanasemekana kuwa ni terrorist.

Sasa kwa nafasi uliyonayo unajua hiyo ni hatari kwa taifa.Na sisi wananchi kwa uchunguzi wetu mdogo tunajua jeshi limegawanyika.

Kinachotuogopesha zaidi ni kwamba katika haya yote yaliyotupata hakuna hata mmoja wenu aliyejitokeza na kutuelewesha nini kinaendelea, kwa nini watu wasio na silaha wameuliwa? Kwanini watu walifwatwa majumbani kwao na kuuwawa? Na video zote za ushahidi zimetumwa na bado mmeamua kunyamaza. Ni nani wa kutupa uhakika wa usalama wa taifa Letu? Mungu akupe hekima.
 
Augustino Polepole ambaye katika jumbe zilizopita amejiwakilisha kama Kanali wa NATO, amemtumia ujumbe General Mkunda.Katika taarifa yake amezungumza mambo mengi ya binafsi na yamkini mengine ni codes ambazo hatuwezi kuzielewa. Lakini ninafikiri sauti yake ni muhimu katika kipindi hichi kigumu ambacho taifa linatafuta watu au viongozi wa kuwaamini japo kidogo baada ya kusalitiwa na serikali.Baada ya mauaji makubwa yaliyotokea Kanali Augustino polepole ambaye ndugu yake, Humphrey Polepole ametekwa na serikali ya Tanzania bado anaamini General Mkunda ndiye Baba aliyebakia na ana nafasi kubwa ya kulikomboa taifa letu.Wengi wetu tumaini hili lilikwisha baada ya ndugu zetu kuuliwa na Polisi na General Mkunda kushindwa kuwatetea na kuwalinda.Je ni lipi Kanali Augustino Polepole analoliona kwa Mkunda hata kusema yeye ni Baba aliyebakia? Nimenukuu baadhi ya maneno yake hapa

“General Mkunda bado unayo nafasi you need to stand as a father of the family wewe ndio uliyebakia.Stand up as a man of the family…achana na ujinga ..Kama wewe ni mnufaika it will cost you big time.Na ukija ICC utanikuta..but brother you have a chance. Mimi nimeishi jeshini Tanzania.Brother ukientertain wahuni it will cost you big time.Fanya mambo chapchap uchumi,jamii mambo yaendelee watu wasiendelee kufa brother.Wewe ni Mkristo hizi damu zinakuhusu.Brother umeenda Sunday school, ukwata, casfeta .….Brother kama ni fadhila unalipa it will cost you big time.” Augustino Polepole

Sijui Kanali Polepole anaona nini katika haya aliyoyasema lakini kama ni kweli General Mkunda una uwezo wa kusaidia kizazi chetu cha Tanganyika lakini unalipa fadhila sababu ulinunuliwa, tafadhali amka. Augustino amesema wewe ni mkristo, nenda mbele za Mungu tubu kwa kununuliwa na kuuza haki za watanzania.Mungu ni mwenye huruma atakusamehe.Ukifanya hivyo Mungu atakupa hekima na uwezo wa kile unapaswa kufanya katika kipindi hiki kigumu kuwahi kutokea katika historia ya taifa letu.Tupo hatarini na wewe binafsi upo hatarini. Ripoti za baadhi ya wale watu waliovalia kiraia na kuwaua ndugu zetu, watu wameanza kutoa identity zao kwenye mitandao na baadhi yao wanasemekana kuwa ni terrorist.Sasa kwa nafasi uliyonayo unajua hiyo ni hatari kwa taifa.Na sisi wananchi kwa uchunguzi wetu mdogo tunajua jeshi limegawanyika.Kinachotuogopesha zaidi ni kwamba katika haya yote yaliyotupata hakuna hata mmoja wenu aliyejitokeza na kutuelewesha nini kinaendelea, kwa nini watu wasio na silaha wameuliwa?kwa nini watu walifwatwa majumbani kwao na kuuwawa?Na video zote za ushahidi zimetumwa na bado mmeamua kunyamaza. Ni nani wa kutupa uhakika wa usalama wa taifa Letu?Mungu akupe hekima.
Huyu Mkuuunduuu sorry Mkunda hovyo kabisa
 
Mhhh ila yule mama ana roho ngumu!

Sijawahi ona mwanamke anayeshupaa kama vile!

Unaua maelfu ya watu na bado unapaka poda kwa furaha kabisa 😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀

Akanunua na Range Rover mpya ya uapisho 😀😀😀😀😀😁😁

Anajipenda haswa, hataki kero za kitanganyika 😁😁😁😁
 
Mambo
 
Mkiendeleza ujinga mtaendelea kuchapika
 
IMG-20251104-WA0054.jpg
 
Nimesikiliza hiyo clip YouTube!
Kifupi Kwa Sasa taiga limegawanyika sana!na Damu iliyomwagika imehalalisha kumwagika Tena kwa movement hizo hizo zilizosababisha damu kumwagika!

Nachelea kuandika!

Ccm chama changu lazima tukubali kwamba tumekua nyuma ya wakati,katiba mpya ilipaswa iwe imeshakamilika tangu mkapa anaachia nchi!

Walau kama tunaogopa kupoteza Dola ni Bora tungejificha kwenye serikali ya umoja was kitaifa walau kuhodhi upinzani kuliko ilivyo sasa!!

Damu ni nzito sana,

NAMUOMBA MWENYEKITI AITISHE KIKAO CHA DHARURA NA UPINZANI NCHINI UPINZANI WA KWELI UNAOJULIKANA SIO HUO WA KUOAKA RANGI,WAONGEE WAJUE WAY FORWARD!

SPINNING NI NJIA NZURI SANA KULIKO RISASI NA MABAVU PLUS GEREZA MARA NYINGI NIMESISITIZA HUMU!

ILANI INAJIELEZA "KAZI NA UTU" SASA UTU HUO UKOWAPI COMRADES!!?
 
Augustino Polepole ambaye katika jumbe zilizopita amejiwakilisha kama Kanali wa NATO, amemtumia ujumbe General Mkunda.

Katika taarifa yake amezungumza mambo mengi ya binafsi na yamkini mengine ni codes ambazo hatuwezi kuzielewa. Lakini ninafikiri sauti yake ni muhimu katika kipindi hichi kigumu ambacho taifa linatafuta watu au viongozi wa kuwaamini japo kidogo baada ya kusalitiwa na serikali.

Baada ya mauaji makubwa yaliyotokea Kanali Augustino polepole ambaye ndugu yake, Humphrey Polepole ametekwa na serikali ya Tanzania bado anaamini General Mkunda ndiye Baba aliyebakia na ana nafasi kubwa ya kulikomboa taifa letu.

Wengi wetu tumaini hili lilikwisha baada ya ndugu zetu kuuliwa na Polisi na General Mkunda kushindwa kuwatetea na kuwalinda.

Je, ni lipi Kanali Augustino Polepole analoliona kwa Mkunda hata kusema yeye ni Baba aliyebakia? Nimenukuu baadhi ya maneno yake hapa

“General Mkunda bado unayo nafasi you need to stand as a father of the family wewe ndio uliyebakia.Stand up as a man of the family…achana na ujinga ..Kama wewe ni mnufaika it will cost you big time.Na ukija ICC utanikuta..but brother you have a chance. Mimi nimeishi jeshini Tanzania.

Brother ukientertain wahuni it will cost you big time.Fanya mambo chapchap uchumi,jamii mambo yaendelee watu wasiendelee kufa brother.

Wewe ni Mkristo hizi damu zinakuhusu.Brother umeenda Sunday school, ukwata, casfeta .….Brother kama ni fadhila unalipa it will cost you big time.” Augustino Polepole

Sijui Kanali Polepole anaona nini katika haya aliyoyasema lakini kama ni kweli General Mkunda una uwezo wa kusaidia kizazi chetu cha Tanganyika lakini unalipa fadhila sababu ulinunuliwa, tafadhali amka.

Augustino amesema wewe ni mkristo, nenda mbele za Mungu tubu kwa kununuliwa na kuuza haki za watanzania.Mungu ni mwenye huruma atakusamehe.

Ukifanya hivyo Mungu atakupa hekima na uwezo wa kile unapaswa kufanya katika kipindi hiki kigumu kuwahi kutokea katika historia ya taifa letu.Tupo hatarini na wewe binafsi upo hatarini.

Ripoti za baadhi ya wale watu waliovalia kiraia na kuwaua ndugu zetu, watu wameanza kutoa identity zao kwenye mitandao na baadhi yao wanasemekana kuwa ni terrorist.

Sasa kwa nafasi uliyonayo unajua hiyo ni hatari kwa taifa.Na sisi wananchi kwa uchunguzi wetu mdogo tunajua jeshi limegawanyika.

Kinachotuogopesha zaidi ni kwamba katika haya yote yaliyotupata hakuna hata mmoja wenu aliyejitokeza na kutuelewesha nini kinaendelea, kwa nini watu wasio na silaha wameuliwa? Kwanini watu walifwatwa majumbani kwao na kuuwawa? Na video zote za ushahidi zimetumwa na bado mmeamua kunyamaza. Ni nani wa kutupa uhakika wa usalama wa taifa Letu? Mungu akupe hekima.
Ee Bwana MUNGU wa majeshi, unayeishi milele, naomba ujibu Maombi yangu.
 
Ccm chama changu lazima tukubali kwamba tumekua nyuma ya wakati,katiba mpya ilipaswa iwe imeshakamilika tangu mkapa anaachia nchi!

Walau kama tunaogopa kupoteza Dola ni Bora tungejificha kwenye serikali ya umoja was kitaifa walau kuhodhi upinzani kuliko ilivyo sasa!!

Damu ni nzito sana,

NAMUOMBA MWENYEKITI AITISHE KIKAO CHA DHARURA NA UPINZANI NCHINI UPINZANI WA KWELI UNAOJULIKANA SIO HUO WA KUOAKA RANGI,WAONGEE WAJUE WAY FORWARD!

SPINNING NI NJIA NZURI SANA KULIKO RISASI NA MABAVU PLUS GEREZA MARA NYINGI NIMESISITIZA HUMU!

ILANI INAJIELEZA "KAZI NA UTU" SASA UTU HUO UKOWAPI COMRADES!!?
Ndio mjipange huko CCM.Madhara yakitokea yanatudhuru wote kwenye makazi yetu.Ndugu zetu walikuwa nyumbani maskini hawajui hili wala lile wameuwawa.Amkeni hii vita ni yetu sote.
 
Back
Top Bottom