Oh kumbe sasa ulileta ya nini huku ,ungebaki nayo chumbani na mmeoHaikuwa lazima uchangia... Ungepita kimya kimya. ka Google ilikuja zaidi.
ivo
Ivi nikuulize kitu mkuu? Unafaham kama tokea Josephe Kabila yupo Madarakani kinyume nakatiba toka mwaka 2002 hadi leo mauwaji yanayo fanyika Drc congo ni mara3 ya mauwaji yalio fanyika rwanda mwaka 1993. Na hauto sikia hatasiku moja jumuia za kimataifa zikiongelea. Watu wakiandamana wanapigwa risasi na mabomu ya vita. Ukikaa unasubiri jumuia za kimataifa utasubiri sana.It's so sad, kuona tunajiingiza katika jambo la kutatanisha namna hii, sijasikia jumuia za kimataifa zikimcondemn huyu bwana.
Nimekuelewa vizuri mkuu ila kwaupande wahuyu jamaa nitofauti kidogo. Coz siokama ni muasi, wala Terrorist hapana, na kundi lake halijawai kufanya mashambulizi yoyote upande wa jeshi la Kabila. Ikumbukwe huyu alifanya kazi na kabila tokea 2002 hadi 2008 baada ya kabila kuanza kuuwa wale ma General wote wenye kuonyesha uzalendo kwa inchi yao nakuanza kumpinga mfano General MAMADU NDALA, colonel EDY KAPENDE colonel AIGLE BLANC... nawengi wengi kabila amewauwa, huyu jamaa Nawenzie wa3 wakapata bahati wakakimbia Africa kusini. Mwaka 2010 ameanzisha kikundi chake. 2015 alikuja hapa Dar es salam katika harakati zakutafuta msaada kwa watu mbali mbali. Mwaka huu 2018 baada ya kabila kwenda kinyume na katiba za inchi huku akisaidiwa na inchi nyingi tu, JOHN CHIBANGU ndio akajitokeza na kumpa kabila siku 25, awe ameachia madaraka. Siku 15 baada yakuji tangaza kwenye Vyombo vya habari kashikiliwa akiwa Airport hapa Dar akitokea SWEEDEN.Watu wengi nilichobaini wanachangia kishabiki
Sio Kama Great thinkers
Nitawapa mfano Mwaka mmoja between 2010 na 2012 kulitokea mapigano makali sana Kati ya waasi na wanajeshi wa Kabila,
Platoon ya wanajeshi wa Kabila ilishambuliwa kwa kushitukizwa na waasi ,wanajeshi wa Kabila wengi waliuawa na Boti zao za kivita kuishia mikononi mwa waasi,
Wachache waliopona walipo Rudi kwa Kabila ,Rais Kabila kwa hasira kuu akawaambia waondoke wasirudi bila boti zake na waasi wakiwa hai au maiti,
Basi Vita ilipigwa ziwa Tanganyika hadi walijikuta wote waasi na wanajeshi wa Congo wapo Bandari ya Kigoma wanatweta,
Vyombo vya usalama vya Tanzania viliwakamata wote wanajeshi wa Kabila na waasi na kuwaweka kizuizini na hatimaye Gerezani Bangwe Kigoma,
So walikua wamekiuka sheria zote ,za kimataifa na za nchi,
Hata UN walipo taka kuingilia waasi waachiwe kama wakimbizi bado walikutwa na Hatia ya kuingia na silaha kwenye Ardhi ya Tanzania na kupigana Vita kwenye Ardhi ya Tanzania
Hivyo hivyo kwa wanajeshi wa Congo,untill serikali ya Congo ilipoomba radhi na kufanyika juhudi kubwa za kidiplomasia,btn
Ma General wajeshi la Tanzania,Rais wa pande zote mbili na mabalozi.
Nadhani Hadi hapo mmeelewa Kama ma Great thinkers kwanini huyo General amekamatwa.
Ndio sheria na kanuni za protocol zinaeleweka, ila sio kwa Raiya mwema kutaka kutetea haki yake ndo. Kabila yupo kwenye madaraka kinyune cha sheria, za inchi na sheria za umoja wa mataifa. Mbona hakuna inchi yoyote inaonyesha kumpinga? Protocol unayosema mkuu mbona haijawai kumfatilia huyu Muanzilishi wa M23 KUNDA BATWARE. yupo Rwanda anakula maisha kwenye nyumba yakifahari baada yakuuwa ma elfu yawa Congo. Nasio kama UN ao AU hawajuwi wanajua sana. Sasa nambie...Kwan protocol anasemaje?
Tujuze unachojuahujui kitu wewe?