General Galadudu

Zikomo Songea

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2016
Posts
670
Reaction score
582
Wakuu, yuko wapi General Galadudu? Ni muda mrefu sana sijasoma post zake humu JF MMU. Ni muda mrefu sana sijasikia habari za "manati yake ya kizungu" na mambo mengine mengi.

Mkuu General Galadudu, hebu fanya fanya utupie ka post ka kufungia mwaka!
 
For sure, nimemiss sana post zake zenye ukwaju...
 
We jamaa bhana kwa hivyo umeamua kujiulizia sio?
 
I real miss him.... Kwani nayeye alikuwa anahoji uhalali wa PhD???? Ya juma pumba
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…