Gen Z Waangusha Serikali za Nchi 3, Ndani ya Mwezi Mmoja, Wamekubali Kufa ila Wapate Ukombozi wa Nchi zao. Vijana wa Tanzania lazima tukubali

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
28,749
Reaction score
91,814
Usipokufa Kwa Malaria, Utakufa Kwa Ajali, Utakufa Kwa Ukimwi.

Ni kweli Dunia na Mambo yake yote ni tamu na yenye Raha .

Fikiria wee Kijana Msomi wa Degree , huna Ajira, wanakufanganya Et Ujiajiri yote ni sababu wameshindwa kutengeneza Ajira

Gen Z , kutokua na Elimu bado halitoshi kutufanya Tuishi Maisha ya Mateso namna hii.

Serikali hii umeshindwa kabisa kufufua Ajira kupitia Viwanda .

Serikali hii imepoteza Uzalishaji

Huenda tukawa si Wanasiasa, lakini ni ukweli kua, Bado hata tukikosoa juu ya ukosefu wa Ajira, hali zetu ngumu za Maisha, Bado Watesi wetu WATATUTEKA, WATATUUUA, WATATUTUPA MBUGA ZA WANYAMA, MAPORINI, MITONI NA BAHARINI .

Ufisadi na ufujaji Rasilimali ambazo huenda zingepata MTU sahihi wa kutusimamia, Leo hii Vijana wasiokua na Kazi, wangelipwa kiasi Fulani cha Pesa Kwa utajiri Mkubwa wa Nchi hii.

Umasikin wetu ni WA kutengeneza, wala sio Umasikin wa Mungu, Mungu alitujalia tukazaliwa katika Nchi yenye Utajiri mwingi.

Embu Jiulizez Ridhiwani, Abdul, Vijana wa DGIS, Vijana wa huyu Muhaini Tapeli wa Magwanda ya Polisi, kwani wao wanautaofauti gan na sisi?? Sio kwamba wao Wazazi wao wametigeuza sisi kua Mapunda ??.

Ninawataka Vijana wa Tanzania, Kua tayari Kufa, Ni lazima Tufe ili tuikomboe Nchi hii na tupate Nchi ambayo Kila sauti ya Kijana Msomi na asojua Msomi , mwenye Ajira na asojua na Ajira ,wa familia ya kimasikin na Tajiri , sauti yake itasikika katika misingi ya HAKI na Maendeleo ya Kila Mmoja.

Tusikubali kabisa kuendelea kua walalahoi, Kama inatulazimu tuvute Bangi ili tuondoke Huu uwoga basi na sote tuvuge Bangi.

Lakini kamwe tusikubali kabisa kuendelea kufanya wapuuzi na kikundi Cha watu wachache .

Vijana wote wa Kiume na Kike, tuungane Kwa nguvu zetu wote.

Maaskari Wanaonekana wananguvu sababu wanatukamata Mmoja Mmoja , lakini nawahakikishieni, RISASI ZA MOTO hazitakua kitu mbele ya Vijana wakiume na wakike maelfu kwa maelfu waliotayari kutoa Maisha yao ili Watoto na Wazazi wao waishi vizuri.

Hawa Askari ni Wachache, Embu fikiria, Kwa Askari Mmoja, wakasimama Vijana 1000, huyo Askari atakua na Namna ya kutushinda?.

Tukifurika ,tukifanya mafuriko ya watu vijana wakike na kiume, maelfu kwa maelfu nina uhakika hawa wahuni tutawafurumua masaa kadhaa yajayo.

Wahuni wamekula kiapo cha kutoachia nchi hata kwa kuua, sasa nasisi tuseme basi, tupambanie nchi yetu hata kwa kufa !!.

Huu mwaka ni wetu vijana wa Kitanzania.
 
Hatari sana, ila gen z wa bobgo ni tofauti sana na hao wengine, hapa gen z yupo tayari kufa kwa ajili ya yanga au simba, ila mama yake mzazi anaweza akabakwa mbele ya macho yake na asifanye lolote, ndiyo maana watoto wangu nawasomesha nje ya tanzania, ili waipate ile spirit na mentality, na aggression waliyo nayo wenzao wa huko,siku wakirudi hapa wanakuwa tofauti kabisa! Hao ndiyo akina Maria sarungi, Hilda newton, nk, ukikulia na kusoma, na kuishi tanzania peke yake unaishia kuwa tu mwijaku,au baba levo,hapo ndiyo umefanikiwa sanaaaa.
 
Onyesha kwanza mfano kwa kutangulia kwanza wewe kufa. Acha kuwashauri vijana upuuzi.
 
Hatari sana, ila gen z wa bobgo ni tofauti sana na hao wengine, hapa gen z yupo tayari kufa kwa ajili ya yanga au simba, ila mama yake mzazi anaweza akabakwa mbele ya macho yake na asifanye lolote, ndiyo maana watoto wangu nawasomesha nje ya tanzania, ili waipate ile spirit na mentality, na aggression waliyo nayo wenzao wa huko,siku wakirudi hapa wanakuwa tofauti kabisa! Hao ndiyo akina Maria sarungi, Hilda newton, nk, ukikulia na kusoma, na kuishi tanzania peke yake unaishia kuwa tu mwijaku,au baba levo,hapo ndiyo umefanikiwa sanaaaa.
Wewe keyboard warrior unajichetua kama Halima Msambwanda
 
BINAFSI Mimi sina shida na nchi

Nina kazi,Nina biashara zinaenda vizuri Nina mke mzuri na mtoto mzuri ,bado Nina wazazi,nimejenga,Nina Mungu ananiongoza so sioni maana ya kuandamana ila kwa wale wenye shida wasio na ajira naunga mkono jaribuni huenda mkabadilisha mfumo uliowasababishia yote hayo...
 
Typical African man. Mandela angewaza kama wewe asingekuwa gerezani miaka yote..Au tundu Lisu alikuwa na uwezo wa kunjoy zaidi yako,na hilo duka lako hapo Mbagala. Mtihani kweli kweli una enjoy kuona wenzio wakitaabika jitahidi usikilize nyimbo za Luck Dube au Bob M. Utoe tongotongo
 
Umeandika kama umekalia mti nyama.
 
BINAFSI Mimi sina shida na nchi

Nina kazi,Nina biashara zinaenda vizuri Nina mke mzuri na mtoto mzuri ,bado Nina wazazi,nimejenga,Nina Mungu ananiongoza so sioni maana ya kuandamana ila kwa wale wenye shida wasio na ajira naunga mkono jaribuni huenda mkabadilisha mfumo uliowasababishia yote hayo...
Hizi akili za wapi
 
Umeongea vyema, 'Black and white'.

Ila ondoa hayo matanga ya vitu ulivyonavyo....havihusu!
 
Typical African man. Mandela angewaza kama wewe asingekuwa gerezani miaka yote..Au tundu Lisu alikuwa na uwezo wa kunjoy zaidi yako,na hilo duka lako hapo Mbagala. Mtihani kweli kweli una enjoy kuona wenzio wakitaabika jitahidi usikilize nyimbo za Luck Dube au Bob M. Utoe tongotongo
Mkuu ulitaka wote tuwe kina Mandela ulitaka wengine tusiwe kina Ronaldo Tu enjoy maisha?????
 
Hizi akili za wapi
Ndo maana nimesema naunga mkono mtakaoandamana ila Mimi binafsi sitajihusisha kwa sababu Nina biashara Ambazo kwa wastani kwa siku zinaingiza faida ya laki moja NI duka la vinywaji na vipodozi..je na Mimi natakiwa niilaumu SERIKALI kweli wakati napata hela?????
 
BINAFSI Mimi sina shida na nchi

Nina kazi,Nina biashara zinaenda vizuri Nina mke mzuri na mtoto mzuri ,bado Nina wazazi,nimejenga,Nina Mungu ananiongoza so sioni maana ya kuandamana ila kwa wale wenye shida wasio na ajira naunga mkono jaribuni huenda mkabadilisha mfumo uliowasababishia yote hayo...
Si kwamba hujaona tatizo hujaamua kutumia Akili kuziona shida au umeamua kujisahaulisha au unajitoa ufahamu kuhusu shida za wanachi kisa maslahi yako hayajaguswa.

Nchi hii si mfanyabiashara wala mfanyakazi wa serikali na secta binafsi, kote huko kuna shida ambazo zimeletwa na wanasiasa.

Kodi zinatumika nje ya malengo ya bajeti waliyoipitisha wao wenyewe, bidhaa nyingi zinazalishwa hapa hapa bongo lakin bado mnaletewa bidhaa kama hizo hizo zinazokuja kuua bidhaa za ndani (watu wa kilimo wataelewa).
Tenda ambazo kiuhalisia inatakiwa zitangazwe adharani na watu au wazawa wapewe kipaumbele lkn mnayaona yanayotokea wanapewa favor wageni ambao kiuhalisia ni marafiki majambazi wa hawa wanasiasa.
Pia kuna tenda ambazo zinapaswa kutangazwa na wenye vigezo wapate nafasi, lkn unaona wanasiasa wenyewe wanaunda vikampuni vyao feki na kujipa hizo tenda wapige mahela,

Sijasahau, karne hii ambayo dunia imebadirika hata mifumo ya kielimu imebadilika lkn nchi yako mpaka leo hii mtoto anahimizwa kukalili ujinga huku akibanwa mpaka muda wake wa mapumziko kwa kumbebesha masomo ambayo hayana tija kwa karne hii.

Sijamaliza, serikali inajua wapi gape la waajiriwa linahitajika na wapi baadhi ya nafasi za kimasomo hazina mantiki wala uhitaji wake Kwa sasa lkn bado serikali inaendelea kuzalisha wahitimu wa taaluma ambazo hazina umuhimu Kwa taifa wala ktk jamii.

Naendelea, kwa karne hii ambayo serikali inatakiwa ilete maono mapya na agenda za kuinua kizazi kijacho na kulinda maslahi ya taifa lkn bado unaona viongozi wetu wanashindana kunadi sera za kujenga vyoo, taa za barabarani, maji na umeme, yaani vitu cheap ambavyo hata mmbunge hatakiwi kudeal navyo kwa wakati huu.

Naendelea bado, nchi ambayo haitambui kuwa kwa nyakati za leo dunia inapitia mapinduzi ya kimtandao na muingiliano mkubwa wa jamii kupitia technolojia ya mawasiliano na fursa za mitandao ya kijamii, lkn serikali hii inaminya fursa hizi kwa kuziwekea vikwazo vya kila aina huku wanufaika wakisogezewa makodi ya kishenzi na baadhi ya media/online payment methods kuwekewa vikwazo kisa zinaleta ushindani kwa makampuni ya wanasiasa, na bado makampuni ya serikali ambayo yalitakiwa kupewa kipaumbele ktk technology ya mawasiliano yanawekewa zengwe ili makampuni ya wanasiasa yasipate ushindani(wanauwa fursa za ajira na masoko ya ndani).

Serikali ambayo kwa sasa ukitoa maoni yako kwa manufaa ya Taifa yakionekana kuwa kinyume na maslahi ya wanasiasa unafanyiwa hujuma ama kupotezwa, jee haya hamuoni?

Kama yote hayo hamjayaona inawezekana ninyi ndio wale wanufaika wa huu utawala na wakandamizaji wa haki za waTanzania.
 
Ndo maana nimesema naunga mkono mtakaoandamana ila Mimi binafsi sitajihusisha kwa sababu Nina biashara Ambazo kwa wastani kwa siku zinaingiza faida ya laki moja NI duka la vinywaji na vipodozi..je na Mimi natakiwa niilaumu SERIKALI kweli wakati napata hela?????
Ukichunguza wote wanaoitetea hii nchi ni raia ambao hawana shida kiuchumi wala njaa, lkn wameweka UTU mbele kwa kuyatetea maslahi ya Taifa ambayo yanachezewa na wanasiasa bila kujali ubinafsi wao.

Ninyi ndio wale WANASIASA wa CCM ambao huwa hamuikosoi serikali hata ifanye mauchafu vipi, mpaka pale maslahi yenu yanapoguswa,

Ni suala la muda tu hata hiyo biashara yako kama una akili timamu utagundua kuna mahala unachezewa na unaminywa ila kwakuwa hujaamua kuona na hutoona mpaka urudishe Akili.
 
Ndo maana nimesema naunga mkono mtakaoandamana ila Mimi binafsi sitajihusisha kwa sababu Nina biashara Ambazo kwa wastani kwa siku zinaingiza faida ya laki moja NI duka la vinywaji na vipodozi..je na Mimi natakiwa niilaumu SERIKALI kweli wakati napata hela?????
Bwana mdogo unajikojolea on bed, amka.
 
Back
Top Bottom