CDFs wetu Mungu amewajalia maisha marefu. CDF Sarakikya naye bado yupo hai. Mungu azidi kuwapa uzima na uhai.
..Sam Hagai Mirisho Sarakikya alikuwa Cdf akiwa kijana sana.
..ana umri mdogo kuliko baadhi ya ma-cdf waliomfuatia.
..pia alikuwa mtu wa mazoezi kwelikweli. Na alikuwa na utamaduni wa kupanda mlima Kilimanjaro kila mwaka.