wakati tupo mujibu wa sheria op vyama vingi 92 makutupora kuna afande alikua anasema hili sio Jeshi la msuguri la darasa la saba, itakua alikua ni drs la sabaSidhani kama ni zaidi ya std 7. Anyway, kwa mambo ya medani apewe maua.
'Ujenerali' sio ngazi ya elimu bali ni cheo. Sina uhakika kama Tanzania military academy 'inatambuliwa' na tcu (I mean accreditation). Nadhani iko chini ya NACTVET.Kuna ngazi nyingine ya elimu-jeshi imebaki zaidi ya (kuliko) ujenerali?
Magufuli aliamua kuiingiza Tanzania Military Academy TCU, hivi sasa digrii inazotoa pale ikiwemo ya Military Science inatambuliwa na TCU.
Mimi nadhani hawa watumishi wa umma walishalipwa mshahara haki yao walipokuwa kazini. Isitoshe hawa watu wa rank za juu kama cdf na wengine, retirement benefits zao ni kubwa sana, kuliko hata inavyopasa kuwa kulingana na uchumi wetu. Fikiria: rais, makamu, pm, spika, deputy, jaji mkuu, cdf na maofisa wengine kadhaa; kila mmoja nyumba, gari, fuel, matibabu, watumishi, etc. Tutajenga shule, hospitali na miradi mingine kwa tabu sana.Gen. David Bugozi Musuguri (103) rtd CDF amezawadiwa nini kwenye sherehe za miaka 62 ya uhuru? Miaka 44 ya vita ya Kagera? Miaka 46 ya utumishi jeshini (1942-1988)?
Vita alivyopigana:-
1. WW II 1942
-Battle of Madagascar
2. Uganda - Tanzania 1978-1979
-Battle of Simba Hills
-Battle of Masaka
-Battle of Lukaya
-Operation Dada Idi
NB.
Pana haja ya serikali kumpa alama ya kumbukumbu (souvenir) kufuatia pia kuwa ndiye Kamandaa pekee wa TPDF aliyepigana Kagera ambaye yungali hai na mwenye umri mkubwa kuliko muasisi wa taifa hili. Kiongozi huyu ni alama na fahari ya Tz, KAR na TPDF.
Ramani inaonyesha jinsi TPDF ilivyosambaza vita Uganda nzima na mishale kuonyesha njia za wapiganaji wa jeshi la adui la Uganda walipotorokea.
View attachment 2845166
Ramani kwa hisani ya Goran tek-en.
Pia makonda wa daladala nao wamlipe maana wakikaribia pale kwake utasikia wanamtajataja "Kwa Msuguri, kwa Msuguri haina???
DuuuuhHuyu CDF aliifanyia nini Tanzania mbona kila siku kelele za Musuguri tu. Wakati wa vita ya Kagera CDF wetu alikuwa Abdallah Twalipo sio huyo Pimbi.
wakati tupo mujibu wa sheria op vyama vingi 92 makutupora kuna afande alikua anasema hili sio eshi la msuguri la darasa la saba, itakua alikua ni drs la saba
daraja la kyaka ndilo lingestahili kuitwa Musuguli BridgeNadhani daraja la Ziwa Victoria la Kigongo Busisi (lililofika 90%) likikamilika lipewe jina la Gen. David Bugozi Musuguri Bridge.
Na mimi pia nilidhani daraja la Kyaka au alama yoyote lakini iwekwe kule Missenyi-Kagera iwekwe kumbukumbu kwa ajili ya huyu Mzeedaraja la kyaka ndilo lingestahili kuitwa Musuguli Bridge
Kwani wewe huwajui wabongo wengi wanavyopenda kuwashobokea watu bila kuangalia mifumo ikoje?Mimi nadhani hawa watumishi wa umma walishalipwa mshahara haki yao walipokuwa kazini. Isitoshe hawa watu wa rank za juu kama cdf na wengine, retirement benefits zao ni kubwa sana, kuliko hata inavyopasa kuwa kulingana na uchumi wetu. Fikiria: rais, makamu, pm, spika, deputy, jaji mkuu, cdf na maofisa wengine kadhaa; kila mmoja nyumba, gari, fuel, matibabu, watumishi, etc. Tutajenga shule, hospitali na miradi mingine kwa tabu sana.
right, walipewa, ambayo ni kuvunja sheria na ni ufujaji wa mali ya umma.Mwaka jana ma CDF wote wastaafu walipewa magari mapya Landcruiser haya ya kisasa.
Majina ya Daudi yamebeba ushindi vitani! FACT!Nadhani daraja la Ziwa Victoria la Kigongo Busisi (lililofika 90%) likikamilika lipewe jina la Gen. David Bugozi Musuguri Bridge.
Operation Kawe ukwamani.Hawa wanajeshi wa zamani walikuwa ni wajeshi wa uwanja wa vita, sio maofisa wa darasani kama walio wengi wa wanajeshi sasa...
Mfano Jenerali Musuguri kashapigana vita vingi akiwa askari wa mstari wa mbele...
Musuguri ni huyo tu hamna mwingine.Ile Mbezi kwa Musuguri ni huyo au mwingine?
🤨🤔🙄Huyu CDF aliifanyia nini Tanzania mbona kila siku kelele za Musuguri tu. Wakati wa vita ya Kagera CDF wetu alikuwa Abdallah Twalipo sio huyo Pimbi.
Mkuu usemayo ni kweli, lakini utaratibu huu umeleta utulivu wa viongozi!Mimi nadhani hawa watumishi wa umma walishalipwa mshahara haki yao walipokuwa kazini. Isitoshe hawa watu wa rank za juu kama cdf na wengine, retirement benefits zao ni kubwa sana, kuliko hata inavyopasa kuwa kulingana na uchumi wetu. Fikiria: rais, makamu, pm, spika, deputy, jaji mkuu, cdf na maofisa wengine kadhaa; kila mmoja nyumba, gari, fuel, matibabu, watumishi, etc. Tutajenga shule, hospitali na miradi mingine kwa tabu sana.
Mkuu usemayo ni kweli, lakini utaratibu huu umeleta utulivu wa viongozi!
Mkuu utaratibu huu umeondoa mawazo na uwezekano mtu kutaka kuchukua madaraka kwa njia haramu ile apate maslahi, manufaa na maokoto zaidi!
Ni mbinu nzuri kwa amani na mustakabali wa taifa letu!
Kwa navyoelewa huyu mzee anapewa heshima na anatambulika kama inavyotakiwa sasa cjui unatakaje specificallyGen. David Bugozi Musuguri (103) rtd CDF amezawadiwa nini kwenye sherehe za miaka 62 ya uhuru? Miaka 44 ya vita ya Kagera? Miaka 46 ya utumishi jeshini (1942-1988)?
Vita alivyopigana:-
1. WW II 1942
-Battle of Madagascar
2. Uganda - Tanzania 1978-1979
-Battle of Simba Hills
-Battle of Masaka
-Battle of Lukaya
-Operation Dada Idi
NB.
Pana haja ya serikali kumpa alama ya kumbukumbu (souvenir) kufuatia pia kuwa ndiye Kamandaa pekee wa TPDF aliyepigana Kagera ambaye yungali hai na mwenye umri mkubwa kuliko muasisi wa taifa hili. Kiongozi huyu ni alama na fahari ya Tz, KAR na TPDF.
Ramani inaonyesha jinsi TPDF ilivyosambaza vita Uganda nzima na mishale kuonyesha njia za wapiganaji wa jeshi la adui la Uganda walipotorokea.
View attachment 2845166
Ramani kwa hisani ya Goran tek-en.
Kuna maandishi nikimaanisha history ndo mtambuzi wa kweli wa mashujaa wote.Kweli kabisa... Ila ikitokea ametangulia mbele ya haki L/Cruiser ya leo itamtambulishaje kwa mjukuu wako, kitukuu chako na kilembwe chako wewe kwamba nchi yetu ilikuwa na jenerali Musuguri!?