johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,524
- 142,799
Kila nikaukumbuka namna CHADEMA na Mzee Lowassa walivyohangaika kuwatafutia kura Wagombea wao 2015 halafu Baada ya kushinda baadhi ya wabunge wakasaliti Chama, nasikitika sana.
Safari ya Gekul, Waitara na Dkt. Mollel siasani waliinajisi wao wenyewe kwa kuukana ushindi wa halali na kukubali Ubunge wa Janjajanja.
Watatu hawa hawakufanya uhuni bali walitenda dhambi ya kuwafolenisha Wapiga kura na kisha kuwakana Baada ya kuwa Wameshachaguliwa.