Hili jengo kwa 1.4 bilion wamepiga hela sana.
haliwezi kuzidi 350m tu
Rejea ujenzi wa hostel ya gorofa 4 kwa 500m
Ngoja ikifunguliwa International Airport ndio utapojua Kama ni kichaka au vinginevyo. Karibu ghalua na tende mkuu. Miaka ya nyuma (sidhani Kama ulikuwa umezaliwa) Mh. Cleopa Msuya alijenga barabara za lami huko milimani na kupeleka umeme huko kwao. Jambo hili liliwashangaza wengi (nikiwa mmoja wapo) kwa sababu hakukuwa na faida au sababu za kiuchumi. Lakini watu tulivumilia na maisha yakaendelea. Vivyo hivyo kwa Bwana Basil Pesambili Mramba huko kwao migombani.Chato ni kichaka, na magu akistaafu kutaendelea kuwa kichaka
international airport hiyo, watu watue kushangaa kuku, mbuzi na ng'ombe huko chatoNgoja ikifunguliwa International Airport ndio utapojua Kama ni kichaka au vinginevyo. Karibu ghalua na tende mkuu. Miaka ya nyuma (sidhani Kama ulikuwa umezaliwa) Mh. Cleopa Msuya alijenga barabara za lami huko milimani na kupeleka umeme huko kwao. Jambo hili liliwashangaza wengi (nikiwa mmoja wapo) kwa sababu hakukuwa na faida au sababu za kiuchumi. Lakini watu tulivumilia na maisha yakaendelea. Vivyo hivyo kwa Bwana Basil Pesambili Mramba huko kwao migombani.
Inakuwaje leo hii anakotokea Mh.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ikifunguliwa Ofisi ya TRA ili wananchi wapate unafuu wa kulipa Kodi na Serikali ipate mapato iwe nongwa na Jambo la kipuuzi kwenu nyinyi "Wanaharakati"!!!????
Tuvumiliane Wajameni...bado miaka Nane (8) tu.
Yote kheri tu yakhe! Karibu ghalua.soon litakuwa zizi LA ng'ombe na mbuzi, hakuna cha maana huko vichakani Chato
Tafuta juice ya Detox mkuu...Chuki imekujaa sumu inaweza kuharibu medula boss.international airport hiyo, watu watue kushangaa kuku, mbuzi na ng'ombe huko chato
sawa mwana Chato.Tafuta juice ya Detox mkuu...Chuki imekujaa sumu inaweza kuharibu medula boss.
Ni vyema kujenga kiwanda kuliko hilo Jengo la TRA......Itajilipa tu huko mbeleni vumilieni mkuu.
Mh. Kikwete alipojenga kiwanda cha kisasa Chalinze cha kutengeneza dawa za kutokomeza mbu mlibeza na kulia sanaaa. Leo hii wote tunaona faida yake. Vumilieni mkuu huwezi jua unaweza kuhitaji huduma ya TRA Chato siku za mbeleni. Karibu Uji wa iliki yakhe.
Tunaangamia kwa kukosa VipaumbeleWameweka ghorofa 3 za ofisi TRA kijijini.....sijui nani ataenda kulipa kodi pale!!! Bado uwanja ndege size ya Dar.....ndege hakuna!!!!! Tunasubiri akitoka na yeye na team yake wapandishwe kizimbani.....manunuzi bila kufuata..sheria!!!!
hivi SENGEREMA na Chattle ni jiraniYani nawaonea wivu watakaopangwa kaz hapo...... Wewe unaweza fanya hata kazi mbili kwa siku au ukawa unafanya mishe zako sengerema jioni unarudi Chattle.......
Tax officer Chattle watainjoi Sana....
Hapa kazi tu..... Kupanga ni kuchagua
Hakuna watumiaji wa hizo Ofisi.... Chato wana mahitaji mengine ya msingi kwasasa kuliko hiyo ofisiWatu mnavyolalamika na kupinga Ujenzi wa ofisi ya TRA mkoani Geita kana kwamba Geita kuna mawe hakuna Watu! Ukosoaji wa Kinazi!
Lakini Geita Mjini hawana ofisi kali kama hiyo ya ChatoWamesema wenyewe hapo kwenyw uzinduzi,Chato wanakusanya milioni 500 kwa mwezi,Geita mjini wanakusanya bilioni 1.5
Hawa wana Inferiority Complex...... Mwamba wa KaskaziniBila ya kutaja Arusha na KLM amridhiki kabisa.
Mwacheni naye ana kwao, mbona waliopita nao walijenga makwao tatizo ni nini?Ukishindwa kuishi Dar ni bora ukaishi Chatto, huduma zote muhimu zipo kuliko hata kwenye majiji mengine.
Ni bora uyaambie maboya ya huko. Wanahitaji kutengenezewa ajira kabla ya vitu vya anasa kama uwanja wa ndege na traffic lights. Miaka 10 si mingi watakuja kufahamu tunachoongea jamaa aking'atukaNi vyema kujenga kiwanda kuliko hilo Jengo la TRA......
So unataka kufananisha kwa Pesa mbili na Chato...aa bwana acha utani? Holili border inaingiza fedha zaidi ya Chato na huko Kwa Mramba kumeendelea kuliko hata Geita. Kuna ma-lodge ya kufa mtu ukiacha Tarakea inayopaswa kuwa mji. Mngekuwa na akili mngemsisitiza awajengee viwanda mpate kujikimu maana uwanja hamtaweza hata kumudu tiketi ya ndege.Ngoja ikifunguliwa International Airport ndio utapojua Kama ni kichaka au vinginevyo. Karibu ghalua na tende mkuu. Miaka ya nyuma (sidhani Kama ulikuwa umezaliwa) Mh. Cleopa Msuya alijenga barabara za lami huko milimani na kupeleka umeme huko kwao. Jambo hili liliwashangaza wengi (nikiwa mmoja wapo) kwa sababu hakukuwa na faida au sababu za kiuchumi. Lakini watu tulivumilia na maisha yakaendelea. Vivyo hivyo kwa Bwana Basil Pesambili Mramba huko kwao migombani.
Inakuwaje leo hii anakotokea Mh.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ikifunguliwa Ofisi ya TRA ili wananchi wapate unafuu wa kulipa Kodi na Serikali ipate mapato iwe nongwa na Jambo la kipuuzi kwenu nyinyi "Wanaharakati"!!!????
Tuvumiliane Wajameni...bado miaka Nane (8) tu.