Geita: Waziri Mkuu Majaliwa, afungua Ofisi za TRA Chato

Hivi hii ofisi ingejengwa Arusha au Kilimanjaro tungefanya hizi kebehi na lawama? Hivi kwa nini kuna Watu wanaamini kwamba wao ndo wenye haki ya kula mema ya nchi hii peke Yao? Ukweli in kwamba hata ingejengwa kibondo au namtumbo I don't care. Kote wanaishi watanzania. Kwamba hakuna economic activities kujustify hiyo investment, possibly yes, lakini ni fursa Kama hizo ndo zitaleta maendeleo. Tukubaliane kuna Mikoa na wilaya imetengwa sana nchi hii as if wao siyo wananchi WA taifa hili. Wengine mkijengewa airports, hotel na kumbi za kimataifa.....it's all good. Kwa sababu mmeendelea na mnastahili. As if maendeleo mlizaliwa nayo...yet hata nyinyi fursa nyingi mlizipata kwa sababu ya viongozi WA taifa hili waliokuwa wana divert miradi. Very unfair kutuaminisha kwamba wananchi WA Chato hawastahili hii ofisi. Next wakajenge Kasulu na Kakonko.

Una akili za kibashite, sijui unaendesja vp familia yako
 
Yaani Ofisi ya TRA Chato ni nzuri, kubwa na ya kisasa kuliko ofisi ya TRA Geita ambapo ndipo makao makuu ya Mkoa na makusanyo yake ni makubwa zaidi.

Wajinga ndio waliowaoa, ajabu mtu huyu huyu alikuwa anabinga ujenzi Wa Bandari ya Bagamoyo.

Ubinafsi tuuu!
 
Dar Es salaam na investments zote zilizopo mbona watu wanakufa kwa uchafu/kipindupindu? Mbona kuna shule watoto wanakaa chini? Kwa nini wasiache kujenga mwendokasi waboreshe hospitali? Au kuboresha airport walipe walimu vizuri? You see? Kila kitu ni muhimu.

mmmmmmnnnnnhhhhhhhhhhhhhhhhhh wewe una kengeza,kuwa kama msukuma halisi wa chato,sema umefaidika nini na hio airport?,budget yetu ni ndogo,and we take a big chunk kwa ujinga tu,lazima tuangalie priorities,
 
Trillion 20 sawa na 70 ya bajeti na bajeti imetekelezwa kwa 30%???? Mwenye akili atafakari
 
hao watu wako hai na wanapumua, kuna watoto leo wanakaa chini darasani,hii ni misuse of resources,bora hata angewawezesha hao watu wachato kwa kuweka miradi ya kilimo na maji angekua amewakomboa,sasa hio
airport ndege atapanda nani??hivi rais hajui hali halisi au hana vision?mmmnh

"Ndege atapanda nani"?
Watapanda Watu wakiwemo na WanaChato!
 
Eti hilo jengo ni sawa na hostel moja na nusu za pale University of Dar es salaam
 
Hivi hii ofisi ingejengwa Arusha au Kilimanjaro tungefanya hizi kebehi na lawama? Hivi kwa nini kuna Watu wanaamini kwamba wao ndo wenye haki ya kula mema ya nchi hii peke Yao? Ukweli in kwamba hata ingejengwa kibondo au namtumbo I don't care. Kote wanaishi watanzania. Kwamba hakuna economic activities kujustify hiyo investment, possibly yes, lakini ni fursa Kama hizo ndo zitaleta maendeleo. Tukubaliane kuna Mikoa na wilaya imetengwa sana nchi hii as if wao siyo wananchi WA taifa hili. Wengine mkijengewa airports, hotel na kumbi za kimataifa.....it's all good. Kwa sababu mmeendelea na mnastahili. As if maendeleo mlizaliwa nayo...yet hata nyinyi fursa nyingi mlizipata kwa sababu ya viongozi WA taifa hili waliokuwa wana divert miradi. Very unfair kutuaminisha kwamba wananchi WA Chato hawastahili hii ofisi. Next wakajenge Kasulu na Kakonko.
Akina Msuya, Mrema, Sumaye, etc. walitengeneza lami mpaka vijijini migombani huko, walisambaza umeme wa uhakika mpaka vichochoroni wakati huohuo mikoa mingine ilikuwa haifikiki kutokana na barabara mbovu, umeme na maji shida. Ilifikia kipindi wakademand kujengewa mpaka International Airport (KIA). Lakini leo amepatikana kiongozi anayejitahidi kuendeleza maeneo mengine (including eneo lake) ambayo yapo nyuma sana kimaendeleo wanamuona mbaya. How selfish are they.
 
Hivi hii ofisi ingejengwa Arusha au Kilimanjaro tungefanya hizi kebehi na lawama? Hivi kwa nini kuna Watu wanaamini kwamba wao ndo wenye haki ya kula mema ya nchi hii peke Yao? Ukweli in kwamba hata ingejengwa kibondo au namtumbo I don't care. Kote wanaishi watanzania. Kwamba hakuna economic activities kujustify hiyo investment, possibly yes, lakini ni fursa Kama hizo ndo zitaleta maendeleo. Tukubaliane kuna Mikoa na wilaya imetengwa sana nchi hii as if wao siyo wananchi WA taifa hili. Wengine mkijengewa airports, hotel na kumbi za kimataifa.....it's all good. Kwa sababu mmeendelea na mnastahili. As if maendeleo mlizaliwa nayo...yet hata nyinyi fursa nyingi mlizipata kwa sababu ya viongozi WA taifa hili waliokuwa wana divert miradi. Very unfair kutuaminisha kwamba wananchi WA Chato hawastahili hii ofisi. Next wakajenge Kasulu na Kakonko.
Upo sawa mno mkuu maana watu kuna watu wanapinga na kubisha kwa kila jambo pasipo kuwa na hoja za msingi tunachotaka ni maendeleo popote panapoendelezwa kuna fursa zinajitokeza
 
Atukumbuke na huku Tanga ofisi za tra Jiji zinatia aibu ukiiangalia kama uchochoro pale mkwakani
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom