nyampanaga
JF-Expert Member
- Nov 16, 2012
- 1,104
- 559
Hiyo tabia yao hawajaanza leo au jana , ni kitambo sana .Imetokea Jioni Ya Leo Kijijini Nyaseke Jimbo La Geita Mjini Ambapo Mgombea Wa Chadema Rogers Luhega Alikuwa Na Mkutano Wa Kampeni.Wakiongozwa Na Balozi Wao Walianza Kushambulia Watu Kwa Mawe Na Kumlazimu Askari Aliyekuwepo Kujaribu Kuwadhibiti Na Kumzidi Nguvu Wakamjeruhi Na Kuharibu Pikipiki Yake Na Sasa Kakimbizwa Kituo Cha Afya Kasamwa Kwa Matibabu,wiki Iliyopita Mgombea Huyo Pia Msafara Wake Ulishambuliwa Mjini Geita Wakati Akipiga Kampeni Za Mtaa Kwa Mtaa,na Majuzi Pia Alifanyiwa Vurugu Kijiji Cha Buhalahala.Kwa Ujumla Hali Ya Ccm Ni Mbaya Jimboni Humo.
Huyo askari hakiwa na bunduki!!!!
Nadhani Alidhani Watamsitahi Kama Mwenzao,but Wakamchenjia Ghafla
mbona ile crowd ya iringa walitumia mzinga kumuua mwangosi?crowd control yoyote ile haihusishi askari mwenye bunduki, ni kwa nia njema kabisa naamini. maana kama angekuwa na bunduki, story hapa ingekuwa ya kulaani ile mbaya
mbona ile crowd ya iringa walitumia mzinga kumuua mwangosi?
Chaguzi zilizopita mpaka muda kama huu wangekuwa na viti 100 vya kupita bila kupingwa , safari hii hamna hiyo kitu , wamechanganyikiwa .ccm hawajazoea upinzani