GEITA raha

wasukuma kwa vituko si wawe wanauliza kwanza
 
Tuwavumilie tu maana ni watanzania. Lakini mnamuaibisha kaka yenu pombe.
 
Hahaaaaaaa nimejua kuwa akheri tuweke majina na avatars zisizohusiana na sisi kabisaaaa maana yawezekanaje GT kulumbana na mtu kama huyu.......

Licha ya mazingira aliyopo lakini pozi la uso wake linaakisi akili yake...
Ili ndilo kundi kubwa linaloivamia jf " MINDLESS ATTENTION SEEKERS"

Mods naomba muwe active na kazi yenu hasa ya kutoa ban kama mna nia nzuri na jf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…