Geita: Radi imeleta maafa EMACO English Medium School

Geita: Radi imeleta maafa EMACO English Medium School

1539775871826.png

Wanafunzi sita wa shule ya msingi, Emaco Vision iliyopo mjini Geita wamefariki dunia baada ya kupigwa na radi wakiwa darasani huku wengine wakijeruhiwa wakiwamo walimu wawili.



Tukio hilo limetokea leo Jumatano Oktoba 17, 2018 saa 3:30 asubuhi. Wakati mvua ikinyesha na radi kubwa kupiga.



Ofisa elimu msingi, Yese Kanyuma amethibitisha kutokea kwa vifo hivyo na kusema hadi sasa majeruhi ambao bado wako hospitali ni 25.
 
Mwenyezi Mungu awapokee malaika hawa na kuwapumzsha mahala panapostahili... Raha ya mielele uwape ee bwana,.. na mwanga wa milele uwaangazie
Indeed walahi uwiii
 
Kuna ndugu yangu yuko geita anasema asubuhi ya leo saa tatu radi imeleta maafa kwenye shule ya EMACO English Medium School. hadi sasa watoto watano wamepoteza maisha.

Poleni kwa wazazi, ndugu na jamaa.

Walioko geita mnaweza kutupatia taarifa zaidi
Mara nyingi radi hupiga shule za msingi kuliko sekondari, kwanini sijui!
 
so sad R.I.P walengwa ..

kuna mtu hapa So called kichaa ana tamani angekuwa ana uwezo wa kumiliki hiyo RADI ili aweze kuwa angamiza wale wote wanaotaka kumtibu kichaa chake
 
Wanafunzi wa shule ya msingi Imaco mission mjini Geita wamepigwa radi ambapo 6 wamefariki, 22 wamejeruhiwa na walimu wawili pia wamejeruhiws mmoja vibaya kwa kuungua mwili mzima.
Source ITV habari!
 
Wanafunzi wa shule ya msingi Imaco mission mjini Geita wamepigwa radi ambapo 6 wamefariki, 22 wamejeruhiwa na walimu wawili pia wamejeruhiws mmoja vibaya kwa kuungua mwili mzima.
Source ITV habari!
Serikali haijaleta radi au tetemeko! Alisema Jiwe!
 
Wanafunzi wa shule ya msingi Imaco mission mjini Geita wamepigwa radi ambapo 6 wamefariki, 22 wamejeruhiwa na walimu wawili pia wamejeruhiws mmoja vibaya kwa kuungua mwili mzima.
Source ITV habari!
Hizi ni kamata nini?pamoja na umeme wa rea bado tu radio iko active
 
Mara nyingi radi hupiga shule za msingi kuliko sekondari, kwanini sijui!
Inabidi shule zote ziwekewe mitego ya radi lakini wamiliki wa shule zikiwamo hata za serikali wanapuuzia hili jambo,mwisho wa siku tunapoteza watoto wetu
 
nililkuwa nakinga maji akaja demu na kimvua nikataka nimgegede nisha mweka tayari ilipiga radi mwanga mweupe gafla gizaa. nilukulupuka bila boksa
 
Back
Top Bottom