Geita: Radi imeleta maafa EMACO English Medium School

Geita: Radi imeleta maafa EMACO English Medium School

Hii awamu sijui ina shida gani yaani huyu raisi hajali kabisa wananchi wake, watu wanakufa na radi wao wamekaa ofisini hivi kweli serikali imshindwa kuzuia labda au kuokoa hao wanafunzi??yaani sijui tunaekekea wapiiii
 
Kisa cha hiyo radi ni mvua nyingi ama? Pole kwa msiba
Kwa miaki mingi hili linajulikana, kwamba kanda ya ziwa Nyanza(Victoria) ni eneo pekee lenye radi za kutisha.
Wengine wenye ufinyu wa uelewa wanahusisha matukio ya radi na ushirikina.

Lakini kwa sayansi ndogo niliyonayo ni kwamba tofauti ya charge kati ya mawingu na ardhi ni kubwa sana kiasi kwamba umeme unaruka kama bolt kutoka mawinguni hadi ardhini.

Lightning is an electrical discharge caused by imbalancesbetween storm clouds and the ground, or within the clouds themselves. Most lightning occurs within the clouds

Ref :National Geographic.

Wataalam wetu, hasa wanasayansi, lazima wawaeleze wenye nyumba, hasa public buildings, namna bora ya kujikinga na radi kwa kuweka lightning arrestors na earth rods za kuingiza radi ardhini.
 
Kitengo cha maafa kinatakiwa kiwe na wataalamu na uelewa. Shule kama hii kupigwa radi ni uzembe!! NAsema ni uzembe wa maafa kama tungetumia taarifa za kitaalamu. Hili kiutaalamu ni eneo la radi. Kila palipo na mkusanyiko wa watu kiasi hiki, tulistahili kuwe na arrester! Ukipigwa na radi karibu na equator ukasema ni bahati mbaya, huo ni uzembe.
 
Poleni sana wazazi,walezi , ndg , jamaa na marafiki kws kuondokewa navwatoto wenu, Mwenyezi Mungu awake faraja na nguvu ya kuonga mbele zaidi
 
So sad,Pumzikeni kwa amani wanetu,mwenyezi mungu awape pumziko la amani.
 
Back
Top Bottom