Muanze na kuoa kabisa.Ngedere wewe kwa nini mke akifa azikwe kwa mumewe Na mume akifa kwa nini asizikwe kwa mkewe .shenzi type mwendekeza mfumo dume wewe.Kwa nini iwe one sided shenzi wewe.A road is a two way traffic
Si kila tunachofanya kimeandikwa, mengine tunajitungia wenyewe, vinginevyo Mungu asingetupa akili sasa.imeandikwa wapi kwenye biblia hayo mambo nipanue ufahamu wangu
Ofcourse inapostahiliPole nyingi kwa mama yake mzazi, watoto wake na mumewe!
Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali inapostahili
suala la ulinzi kwa Rais,sio mbwembwe,hata ukimuona kijiweni chato,ujue mbele ya picha hakuna anekatiza ni hao hao aliowakutaNilikuwa namaanisha kuwa wakati mwingine wawe normal basi! Kila mahala protocol tuuu! Inakuwa so robotic sasa..
Sent using Jamii Forums mobile app
wewe umetoa wapi mawazo hayowapi umeona nimetaja kuwa yameandikwa katika biblia
Kama kweli Awe makini Mungu anaweza sikia ombi lake.Kuna sehemu JIWE kasema bora angetangulia yeye.
Imeandikwa wapi mtu akiolewa azikwe alikoolewa? Usituletee mila za kichaga hapaApumzike kwa amani Monica! Kwa nn hajazikwa aliko olewa jaman! Au alishatengana na mmewe? Hii hali nimekuta wanaume wengi wa kisuukukuma wametengana sanaa na wake zao
Sent using Jamii Forums mobile app
kama umejitungia subiri afe mama yako halafu ulazimishe akazikwe ubabani kwako,sawa?Si kila tunachofanya kimeandikwa, mengine tunajitungia wenyewe, vinginevyo Mungu asingetupa akili sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
True aisee. Ila paul alienda kweli ?Haya yalikuwa mazishi ya kitaifa. Wengi walienda pale kwa ajili ya kujikomba na hofu pia.
Mungu mlaze pema peponi marehemu!
Sheria gani inakatazwa mtu kuzikwa kwao?huyo mama ameolewa na mumewe yupo hai, iweje azikwe kwenye makaburi ya familia ya magufuli? tena ndani ya makazi ya kaka yake?
Hiyo kwani mila ya wapi? Msifanye vitu kwa mazoea. Kwani mtu akiolewa ndio hana kwao?Mama aliolewa na mumewe yupo hai na watoto wapo pamoja na wajukuu zake lakini amezikwa kwa kaka yake kwa nini.?
Labda sijui mila za wasukuma.!
Sent using Jamii Forums mobile app
kwani wewe huwa huwezi kutumia ubongo wako kuwaza hadi usaidiwe kuwazasuala la ulinzi kwa Rais,sio mbwembwe,hata ukimuona kijiweni chato,ujue mbele ya picha hakuna anekatiza ni hao hao aliowakuta
wewe umetoa wapi mawazo hayo
kwani ni sheria gani inakataza mtu kuzikwa kwa mumewe
UsikaririSawa, lakini kama mwanamke kaolewa huwa ikitokea kafariki anazikwa kwenye ardhi ya mumewe/kwao mumewe, iweje huyu ambaye ana mme watoto na wajukuu azikwe kwao
Jiwe Bana...Maneno ya jiwe yamesikitisha sana. Anadai mama yake alivosikiA mwanae kafa akauliza nani atakua anamuosha na kumpa dawa ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi wewe jinsia gani?Mwanamke akiwa Na uwezo au ndugu zake ndio mnapigania azikwe kwa mumewe mle michango Na mirathi ya Mali alizowezeshwa Na ndugu zake wenye uwezo wavivu nyie pambaneni Na hali yenu msivizie mirathi.
Pole nyingi kwa mama yake mzazi, watoto wake na mumewe!
Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali inapostahili
Nitakuwa mnafiki kutoa pole kwa JiweMkuu mbona hujatoa pole Kwa Jiwe
Sent from my Nokia 6.1 using Tapatalk