Tetramelyz
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 4,369
- 12,469
Ni kweli mkuu, nimeupdate ina video callAngalia hapa katika picha
View attachment 390472
Anayetaka kujaribu ipakue hapa GBWA v4.81-2.16.193 @atnfas_hoak.apk
Mimi mbona sijaiona hiyo option wakuu na nimepakua hyo gbwhatsapp?!Ni kweli mkuu, nimeupdate ina video call
Ww umejaribu na ikapga?
Ndio inapiga mzigo vizuri kabisavp umejaribu?
Mkuu naomba msaada unaipata sehemu gani hiyo option mkuu.Ndio inapiga mzigo vizuri kabisaView attachment 390599
Bofya contact ya mtu utaona kitu kama hichi....then binya hiyo icon inayoonekana kama camera ya kushootia videoMimi mbona sijaiona hiyo option wakuu na nimepakua hyo gbwhatsapp?!
Imekaa kijerumani mno hiyo App.Skype ndo inapoteaaa hivyoo
Lakini still ni useless kwasababu 90% watu wanatumia official whatsapp sasa hapo hiyo video call utawasiliana nani?Ww umejaribu na ikapga?
Mbona hai download mkuu...?. Inasema download failed kiongozi.Angalia hapa katika picha
View attachment 390472
Anayetaka kujaribu ipakue hapa GBWA v4.81-2.16.193 @atnfas_hoak.apk
mbona mm inanambia ipo up to date... na haina video callMbona hai download mkuu...?. Inasema download failed kiongozi.
Msaada please kwa anayejua wakuu. Thanks.
PAKUA HAPA https://latestmodapks.com/GBWAv4.81.apkMbona hai download mkuu...?. Inasema download failed kiongozi.
Msaada please kwa anayejua wakuu. Thanks.