Mambo ya kuchange IMEI hayapo, unachotakiwa uwe umenunua vodaphone then imei yako inatumika kukuunganishia hilo bando na ni mala moja tu kwa kila vodaphone.
So wauni wanachokifanya ni kubashir imei ukipatia imei kama ipo kwenye kampuni ya voda basi lain yako inapewa hzo GB 50, kumi kumi GB kila mwezi
Sent using
Jamii Forums mobile app