Kuna sekta mbili zinazoongoza kwa woga Tanzania, ualimu na sekta ya habari.Alafu hapa ndani ya nchi magazeti yetu hii habari hawaipi uzito wa kwanza.
Nawapongeza gazeti la The citizen kuifanya hii habari kuwa ndio leading story katika toleo lao la siku ya leo.
Wataiitaje nzito wakati ni nyepesi...wao ndio wako nchini wanaujua ukweli...hao maadui wa nje ndio unawalinganisha na magazeti yetu ya hapa nyumbani...nyie hasara kweliAlafu hapa ndani ya nchi magazeti yetu hii habari hawaipi uzito wa kwanza.
Nawapongeza gazeti la The citizen kuifanya hii habari kuwa ndio leading story katika toleo lao la siku ya leo.
Tofautisha matukioAbsurd!...hawa wajerumani waliokuwa wanalia kudukuliwa kwa simu za Chancellor Angela? mbona hawakufurahia CIA kuwa walikuwa na nia ya demokrasia? uwazi?.
Daah......Mkuu hapo kwenye ualimu kisu chako kimegota kwenye mfupa wangu wa ugoko. Kwa namna moja au nyingine upo sahihi cz walimu tu watu duni sana kwa kipato. Hali hiyo inapelekea wengi wetu kuwa duni kifikra.Kuna sekta mbili zinazoongoza kwa woga Tanzania, ualimu na sekta ya habari.
Kwa sasa ukiongeza sheria mpya iliyosainiwa juzi waandishi wa habari wanaweza kuwapiku walimu kwa woga.
Pole sana kiongozi nimeona hilo hata jamaa zangu ambao nilisoma nao kwa sasa ni walimu huwa nawashangaa namna walivyo tukikutana kupiga stori mbili tatu yaani wamejiweka kwenye tabaka la uwoga kutojiamini kabisa, kwa hii hali mpk najiuliza wanafundishaje huko darasani ili kuwapa confidence watoto wetu? Mfuko huh ukiendelea mbele zaidi tutaja kuwa taifa za lenye watu mithili ya uze..ta.Daah......Mkuu hapo kwenye ualimu kisu chako kimegota kwenye mfupa wangu wa ugoko. Kwa namna moja au nyingine upo sahihi cz walimu tu watu duni sana kwa kipato. Hali hiyo inapelekea wengi wetu kuwa duni kifikra.
Seriously, nikikumbuka tukio moja niliwahi peke yangu kutosimama kumsalimia mkuu wa wilaya ambaye alituweka toka asubuhi akaja jioni, watu hatujala twamsubiri yeye tu. Sitosahau nilivyonangwa na wenzangu, kutishiwa kuoteshwa nyasi kibarua. Lile jambo lilinifanya niwahurumie sana walimu.
Kwa yanayoendelea sasa hivi wanaidhihirishia dunia Tz sio mahala salama pa kuwekeza. Umbulula umbulula tuuuu! Swala la Mkurugenzi hili swala hili limeiponza nchi itachukua miaka kadhaa kwa dunia kuiamini Tz na Serikali yake. Tunakoelekea si kwenyewe.
Alafu hapa ndani ya nchi magazeti yetu hii habari hawaipi uzito wa kwanza.
Nawapongeza gazeti la The citizen kuifanya hii habari kuwa ndio leading story katika toleo lao la siku ya leo.
mafanikio gani?Kwenye kuelekea mafanikio lazima punda aumie ili mzigo ufike...so nahapa tz ili kufika kwenye mafanikio lazima watu waumie laaa sivyo ni njogi tuu
He wont even care he has a thin skin