Gazeti Raia Mwema nalo mfukoni?

Gazeti Raia Mwema nalo mfukoni?

Wetu. Anatumika ktk vita against lowassa, kwake rostam si tatizo hata kidogo. Kumbukeni siku mwisho kabla ya baraza jipya la mawaziri waliibuka na mahabari yao waloyaita ya kiuchunguzi!!! Nimelisoma sana na kubaini ni tambwe hiza mashine(proganda machinery ) kazi kwetu wa tz
 
Kaaaaaaaaa.....
2be honest gazeti makini kwa wa2 makini ni mwanahalisi tu.
 
Nimeliona nikalipotezea nikanunua lenye kichwa 'CHADEMA YANG'ARA' ni katika uchaguzi igunga.
 
Lisemwalo lipo. nishalihis hilo. Mtanzania na raia ndo naona wanajivua gamba polepole.
 
Ni maoni yao tu sioni shida kwanza igunga magazeti mijini yanasomwa kesho yake na vijijini hayafiki mimi nashauri chadema wagonge kampeni usiku na mchana mpaka kieleweke.
Mbinu chafu za ccm zinajulikana chadema kaza buti.

ebwana kampeni ni mchana tu na mwisho ni saa 12 jioni. umesahau??
 
Back
Top Bottom