Gazeti mwananchi halijaitendea haki Chadema - limenisikitisha sana!!

HTML:
Ukimsoma semtawa ndie ambae huandika story nyingi za ZITTO,SITA,MEMBE,CHENGE.na hivi karibuni amekuwa ni kijana ambae anafanya kazi kwa kusaidia mawazo ya BOSI WETU anaitwa MAKUNGA na Pia hapa ndani sisi humuita jembe la IKULU, ukitazama mahusiano ya IKULU,ZITTO na mpango mchafu wa [COLOR="blue"]kukibomoa chama chetu vyote hivi vitakueleza nini bwana mdogo [/COLOR]semtawa anafanya

Wewe mwenyewe unaonekana haukidhi viwango bora vya uandishi maana unajitambulisha na CDM. Kwa vyovyote vile na wewe utakuwa unaandika kwa mwelekeo wa chama unachoita chenu. Ama kweli Tanzania ni zaidi ya tuijuavyo.
 
Pamoja na hayo, ni wakati muafaka wa kumshukuru Kamanda Mbowe kwa kazi njema aliyoifanyia CDM na kumwomba term ijayo, kulinda heshima na ili kukikomaza chama maana tayari kimejengeka, basi ASIGOMBEE TENA na wala ASITHUBUTU kumwandaa mtu kwa mtindo wa Kimakundi. Lakini pia, kwangu kustaafu kwa Kamanda Mbowe hakumaanishi chama kipigwe sandakalawe kwa watu kama Zitto. Ningependa kuona mtu makini zaidi anajongea tofauti na mamluki.
 
Habari yenyewe ni ya kuchakachua kweli kila mtu anajua Zitto amepwaya sana baada ya scandali yake ya kwenda kinyume cha maamuzi ya chama mwaka jana pale bungeni
Kwa jinsi livyomgharimu nina uhakika Zitto hawezi kutumika hata kidogo kuwa na Semtawa katika kuonyesha mkutano wa kamati kuu ulikuwa na kutokuelewana anajua gharama yake
Kumuunganisha Mbowe na Lema hiyo ni mchoro wa Usalama wa Taifa kutaka kuonyesha kwamba kuna ukabila na ukasikazini japo mwandishi amekwepa kuliweka hilo wazi kwa sababu limechuja masikioni mwa wananchi
Nina wiwa kusema kuwa CHADEMA wajue maadui zao ni UWT,Serikali,CCM, na wananchi wengine ambao katika kutoa tuhuma za ufisadi wanaweza kutumika hii yote ni kazi ya Ridhiwani na UWT,wasingeweza kutumia magazeti ya UHURU,Habari Leo au Jambo leo kwa vile yanajulikana kwamba ni magazeti ya propaganda,lakini imekuwaje Semtawa apewe front page ina maana hata mhariri wa mwananchi naye yumo
Hii ni vita kubwa sana amabyo haina mashiko Zitto sio chochote hana hata wafuasi ,kama ilivyokuwa siku za nyuma ni na uhakika hata penda jina lichafuke tena wakati alianza kujisafisha.
 
Acha uongo wewe! Kitila Mkumbo ni member wa hicho kikao na hakukana yote hayo. kaangalie post ya "shibuda Out"!
Ukipenda tumia na akili wewe!
Kazi kweli kweli sijui kama mutaweza kubomoa chama kwa sasa hivi wananchi wanajua yote hayo siku nyingi ndugu mwakilishi wa magamba
 
Ukweli unauma mwandishi alicho fanya ni kuandika ukweli mtupu. Ndio maana hata gazeti lenu la Tanzania Daima halikugusia habari hizo kwa vile limewaumbua kambi ya boss wao Mbowe
SPOT-ON
GeniusBrain, kuna waliokunywa maji ya bendera ya CDM hawaelewi ukweli hata ukiwa usoni kwao.
Tumesema tena na tena ufisadi vile vile upo CDM kwa vile chama kinaendeshwa na wafanyabiashara, mtoa mada na wengine wengi ni wavivu wa kulielewa hilo.
 
Wasipotaka kuelewa ushauri huu wa bure na kufanya mabadiliko kadri inavyohitajika hicho chama tutakikuta makumbusho ya taifa.
 

siasa mchezo mchafu.

tujenge chadema yetu. tuache majungu.
 
Chadema yagawanyika kambi ya mbowe na kambi ya zito.
Kura zilipigwa 19 moja ikamkubali shibuda na 18 zilimkataa.
Mwandishi atupe hizo kambi ya mbowe ilikuwa na watu wangapi na zito wangapi?
Tofauti na hivyo tuchane live.
 
we acha upuuzi wako apa kwani zitto anapo sema kununua magari chakavu ni ufisadi amekosea? we unafikiri uyo godbless lema kusema zitto afukuzwe eti kisa anapinga kununua magari mitumba yupo sahihi?na uyo mbowe kukifanya chadema ni chama cha kifamilia unafikiri sio ufisadi? ufisadi wakifanya CCM vibaya ila wakifanya chadema ni sahihi ukisema unaambiwa unakivuruga chama
 
Tatizo mmezoea mtu mmoja anawaamulia wote kule kwenye chama chenu, hapa cdm ni kujadili, kukubali kutokubaliana kisha kufanya uamuzi wa pamoja. Democrasia si mgogoro jamani fungueni macho wala sioni mgogoro hapa!
 
inaonekana kuna mpango maalumu umewekwa kuidhoofisha CDM lkn kwa nguvu ya umma naamini hawataweza hawa wazandiki hivyo basi muda ndio utakaowaumbua:bange::bange::bange:
 
Tatizo mmezoea mtu mmoja anawaamulia wote kule kwenye chama chenu, hapa cdm ni kujadili, kukubali kutokubaliana kisha kufanya uamuzi wa pamoja. Democrasia si mgogoro jamani fungueni macho wala sioni mgogoro hapa!

Mpaka sasa ni chama kimoja kinachoongoza kuwa na maamuzi ya mwenyekiti na kamati ikayachukua kama maamuzi nacho ni CCM ,mwenyekiti anasema tutakuwa na spika mwanamke wanachama na wana ccm kwenye kamati tu haangalii uwezo wa huyo mwanamke na kweli inaakuwa kama mwenyekiti alivyosema
Mwenyekiti anasema tutajivua gamba anawarubuni sekratariati wanajiuzulu na magamba ya kujivua wanaachiwa wanachama watatu na kamati kuu inabariki
mwenyekiti anasema muswaada utatayarisha na Mwanasheria mkuu na kikundi cha watu wawili watatu bila management pale wizarani kujua wala kuwashirikisha wazanzibari wanapitisha maandiko wa muswada na kupeleka bungeni mwenyekiti kasema
kwa kweli mwenyekiti wa CCM ndiye alfa na omega
 

Nimekusoma vizuri sana mkuu. Ukweli ndio huo na waafrika tuna desturi wa kukimbia tatizo badala kutatua tatizo. Hakuna kikundi chochote duniani kisichokuwa na misunderstanding coz people they differ on various aspects hata mapacha wanaofanana wanatofautiana kwa mambo mengi. Mh.Lema awekwe chini aonyeshwe utaratibu wa chama aache kuongea hovyo nje na ndani ya vikao
 
jihadhari kaka zitto wataku wangwe hao wakaskazini.

kwenye maslahi wako tayari kuua mtu.

wanapinga mitambo ya umeme mitumba na wanataka kununua magari mitumba.

mbowe anatafuta pesa kuendesha kampuni zake binafsi.
 
inaonekana kuna mpango maalumu umewekwa kuidhoofisha CDM lkn kwa nguvu ya umma naamini hawataweza hawa wazandiki hivyo basi muda ndio utakaowaumbua:bange::bange::bange:

Huo ni woga tu, hakuna mpango wowote, tatizo lenu mkiambiwa ukweli mnaukimbia !
 
swali, je aliyoandika ni ya uongoo?.. Kama ni ya Uongo mwaga ukweli hapa, Ila ukiishia tuu kumlaumu mwandishi wa habari eti kisa 'Zitto' katajwa humo unakua kama mkurupukaji tuu!..

Hapa JF zinatakiwa ZIDUMU na kusifiwa Fikra za Mwenyekiti wa Chama na kumponda ZK ndio utapata majority support hapa. Kwa kuwa baadhi ya viongozi ndani ya CDM ni Malaika hawawezi kukosea hata siku moja. Siku zote inapotokea kutofautiana kwa zk na kiongozi mwingine ndani ya chama hata km anakemea ufisadi, basi yeye unatakiwa umponde in any means.
 

Hivi mkakati wa CCM kuiuwa CHADEMA hajaujua. Tayari magazeti ya IPP yameaanza kimya kikimya bila nyie kufahamu CCM ndio mafya kama hamuwajui .
 
lema ni jambazi zitto angalia sana wanaandaa mpango wa kukuua kama wangwe.

zidumu fikra za baba mkwe mwenye ngo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…