ngamiamzee
JF-Expert Member
- Jun 6, 2011
- 245
- 19
Inatisha sana. Siamini kwamba sasa watu wameanza kumtetea EL kiaina, siamini kwamba sasa EL anaonekana anweza kuwa Rais wa nchi hii tena humu ndani ya JF, siamini mambo mengi tu na kwa kweli siamini kabisa kuwa jukwaa limeanza kumuona EL shujaa na soon RA atakua mfadhili na si fisadi tena, siamini kwamba tumeshasahau zile thread zote zinazomuita EL mwizi zimesahaulika. MUNGU IBARIKI TANZANIAKumbe mpo wengi humu... Haya jioni njema, nilidhani tunajadili mustakabali wa taifa letu kumbe wengine mpo kazini... Au revoire!
Hakika CCM ni Kinda mbele ya Lowassa, na ni kiongozi mwenye msimamo kuliko wote ccm. Hata kama aliiba yeye alianza kuwa mtafutaji siku nyingi tofauti na waliotajirika mara tu waliposhinda urais. Lowassa anaweza kukipa discipline chama na anaowaongoza. Bora mwizi anayeweza kuilinda nyumba yake kuliko anayeiba kwa kujificha lakini hawezi kuionyesha njia familia. Bora Lowassa kuliko Kikwete na wengine ccm maana ni waogahilo ndio gazeti kongwe la chama cha mapinduzi..my take; wanambip EL akiwapigia wasijeshindwa kupokea tu
Mimi namwomba Mungu ampe roho ya Toba Lowassa na asahau tu ajushushe aombe watanzania msamaha kwa yote aliyokosea na aliyochafuliwa nayo! Hakika tutamwamini na kumkabidhi Ikulu.Tunajua mema yake mengi kuliko huyu Kikwete. Kikwete mchonganishi tu, kawachonganisha akina Sitta na akina Lowassa ili akae kati na afaulu mipango yake, Divide and Rule.Huyu jamaa hawamjui,mapigo yake ni ANGUKO LA CCM.
Hakika pamoja na kwamba naipenda Cdm. ILA LOWASSA ni msafi kuliko hao wote sema tu anajaribu kuepusha shari maana akitaka kufanya chochote ccm anaweza na anaungwa mkono na asilimia kubwa halafu mtandao wake ni kila mahali kwenye ccm. Subiri atoboe ukweli muda ukifika, muumbue Kikwete maana ni mnafiki sanaNani sio fisadi CCM? Si umeona jana Kafulila kaongeza list ya wavua gamba? For sure Lowassa yuko clean kuliko JK na Sitta aliyejenga kasri la mil 500 Urambo miezi 6 kabla ya kuvuliwa Uspika.