Kashishi yetu
JF-Expert Member
- Mar 22, 2014
- 3,634
- 3,944
TCRA MPO? GAZETI LINACHOCHEA VITA LIFungiwe na mwandishi na mhariri wake wakamatwe mara moja wakahojiwe
Naona unapoteza kumbukumbu hayo maneno ya kuingia msituni aliyasema komba wa ccm
Umepotea njia fuatilia hii habari alafu uangalie siku mkitoka mnapotoka mnakuja kupambana na nn
Wapelekwe icc hawa
Kumbukumbu kwako ni shiiidaaaa
Yule mwandishi walimuwekea nondo sasa bado labda inasumbua saikoloji yake
Shida sana ndio maana simkumbuki lowassa kabisa!
Ulimbukeni unakusumbua sana
Ngoja nikanunue nisome mwenyewe
Si wanaJF wote tuna access ya hicho kijarida. Ungeweza kutusaidia kututundukia hicho kipande cha habari hapahapa katika uzi wako ili tujiridhishe kuwa tunachojadili ni kweli kimetokea.Lile gazeti ambalo mwandishi wake alikula kichapo katika maandamano feki limeendelea na propaganda chafu kuvuruga amani ya nchi.Gazeti la leo uk.5 limeripoti kuwa CHADEMA imeingiza vijana msituni kwa ajili ya kujiandaa kufanya vurugu uchaguzi mkuu.Cha ajabu ni kwamba hata jina la msitu wameshindwa kutaja,kwa kuwa ni kosa la kuhatarisha amani wameshindwa hata kuonyesha kama wameripoti polisi
Ww ndio limbukeni uliye tukuka mlio lewa pesa chafu za viroba kwa bodaboda
Lile gazeti ambalo mwandishi wake alikula kichapo katika maandamano feki limeendelea na propaganda chafu kuvuruga amani ya nchi.Gazeti la leo uk.5 limeripoti kuwa CHADEMA imeingiza vijana msituni kwa ajili ya kujiandaa kufanya vurugu uchaguzi mkuu.Cha ajabu ni kwamba hata jina la msitu wameshindwa kutaja,kwa kuwa ni kosa la kuhatarisha amani wameshindwa hata kuonyesha kama wameripoti polisi
Endelea kujitwisha gunia la misumali