Seif al Islam
JF-Expert Member
- Nov 14, 2011
- 2,156
- 640
Yule mwandishi walimuwekea nondo sasa bado labda inasumbua saikoloji yake
Lile gazeti ambalo mwandishi wake alikula kichapo katika maandamano feki limeendelea na propaganda chafu kuvuruga amani ya nchi.Gazeti la leo uk.5 limeripoti kuwa Chadema imeingiza vijana msituni kwa ajili ya kujiandaa kufanya vurugu uchaguzi mkuu.Cha ajabu ni kwamba hata jina la msitu wameshindwa kutaja,kwa kuwa ni kosa la kuhatarisha amani wameshindwa hata kuonyesha kama wameripoti polisi
TCRA walitoze faini na onyo kali wakishindwa kuthibitisha madai hayo.
Lisemwalo lipo kama halipo basi lina sogea! Naamini huku siamini
Wewe kwa sababu ni gamba huwezi kuamini
Ukiona hivyo ujue ccm maji yamefika shingoniGazeti hili la CCM limegeuka gazeti Ovu na Anachopania kutenda mtu mbaya ni uovu; hata kwa jirani yake hana Huruma (Mithali 19:10).Njia ya waovu imejaa miiba na mitego; anayetaka kuhifadhi maisha yake ataiepa. Mithali 22:5). Apandaye dhuluma atavuna janga;uwezo wake wa kutenda mabaya utavunjwa (Mithali 22:8). Mwovu atapata pigo ambalo halitampata mtu mwema, mkosefu ataadhibiwa badala ya mnyoofu.(Mithali 21:18)
jitokeze hadharani km unapinga.... na una ushahidi usilalamike.. kwani sheria si ipo si uitumie.. no research no right to say
Nyie ingieni msituni mkirudi mnakumbana na maji ya kuwasha na mabomu ya machozi! Bada ya kuhangaika na familia zenu mnaenda kutengeneza wajane na yatima na vilema
Hahahaaaaaaaa Bavicha (Baraza la vichaa chadema kazini) uchaguzi ukiisha jamaa yenu anarudi kuchunga ng'ombe akiwa muflisi huku Dr Magufuli akiwa yuko kwenye kiyoyozi Ikulu