Gazeti la Uhuru: CHADEMA waingiza vijana msituni

Gazeti la Uhuru: CHADEMA waingiza vijana msituni

Kikwete jana zanzibar amekiri uchaguzi safari hii ni MAN TO MAN!!!
 
Ukiona mtu au gazeti ambalo ndio domo la chama linazua mambo ya hatari hivi ujue wao ndio wapo kwenye hio process ya kuingia msituni...si mnajua mgombea ashasema wataigeuza libya?
 
Ccm ipumzike miaka 5 hakujtokea serikali inayojali watz toka rais mwinyi aondoke.leo madini kibao madawa ya binadamu yanagizwa india na kenya.
 
Lile gazeti ambalo mwandishi wake alikula kichapo katika maandamano feki limeendelea na propaganda chafu kuvuruga amani ya nchi.Gazeti la leo uk.5 limeripoti kuwa Chadema imeingiza vijana msituni kwa ajili ya kujiandaa kufanya vurugu uchaguzi mkuu.Cha ajabu ni kwamba hata jina la msitu wameshindwa kutaja,kwa kuwa ni kosa la kuhatarisha amani wameshindwa hata kuonyesha kama wameripoti polisi
Hili ni gazeti la chama tawala kwa hiyo inawezekana wanaongea kinyume Kwamba ccm wamepeleka vijana msituni,kumbuka issue hii alianza captain Komba au wanatuhamasisha vijana tuliochoka kuanzisha movement ya kuikataa ccm na serikali yake kwa Nguvu badala ya kutumia sanduku la kura
 
Uhuru uhuru hivi muwe na taarifa hizo kweli mnashindwa kuripoti police na nyombo vya usalama vichukue hatua acheni hizo sekondari za kata zimetufungua macho na masikio tuna uelewa sasa
 
Binafsi tasnia ya uhandishi wa habari nchini sipendezwi nayo.inatugawa sana watanzania
 
Uhuru uhuru hivi muwe na taarifa hizo kweli mnashindwa kuripoti police na nyombo vya usalama vichukue hatua acheni hizo sekondari za kata zimetufungua macho na masikio tuna uelewa sasa

Kweli mkuu,hata hivyo tunaviomba vyombo husika kufuatilia uhalali wa hiyo habari kama ni ya kutunga basi mwandishi wa hiyo habari akumbane na sheria maana inaangukia kwenye uchochezi
 
Hili ni gazeti la chama tawala kwa hiyo inawezekana wanaongea kinyume Kwamba ccm wamepeleka vijana msituni,kumbuka issue hii alianza captain Komba au wanatuhamasisha vijana tuliochoka kuanzisha movement ya kuikataa ccm na serikali yake kwa Nguvu badala ya kutumia sanduku la kura

Huyo mwandishi wa hiyo habari amuulize mwenzake wa Kenya Arap sang anavyohenyeshwa na binsouda kule the hague
 
Hata Raia Mwema liliandika kuhusu muungano fulani wa kihuni, ambao unaandaa vijana 15,000 kwa ajili ya vurugu. Wanajua kabisa mtu wao legelege atashindwa hivyo wanatengeneza fujo
utoto huu sasa, msitu gani wa kuweka vijana? au congo?
 
CCM waandae fujo ila wajue Watanzania tupo pamoja na Lowassa NO MATTER WHAT. Hao Janjaweed wanawaandaa wao kama kawaida yao baada ya kuona Polisi imeamua kufuata sheria. Sasa tunasema tumewachoka na waje na mipango yao ya kihalifu hatutakubali kukandamizwa tena
 
Lile gazeti ambalo mwandishi wake alikula kichapo katika maandamano feki limeendelea na propaganda chafu kuvuruga amani ya nchi.Gazeti la leo uk.5 limeripoti kuwa Chadema imeingiza vijana msituni kwa ajili ya kujiandaa kufanya vurugu uchaguzi mkuu.Cha ajabu ni kwamba hata jina la msitu wameshindwa kutaja,kwa kuwa ni kosa la kuhatarisha amani wameshindwa hata kuonyesha kama wameripoti polisi

mwisho wa unafiki lowasa akiapishwa
 
Back
Top Bottom