Gazeti la Tazama linamilikiwa na Dowans?

ibange

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
1,543
550
Ukisoma gazeti la Tazama utacheka. Gazeti zima linaitetea Dowas na Lowassa. Mtanzania na mengine ya Rostam yanaitetea Dowans na Lowassa pia. Hii inaondoa mashaka kuwa Lowassa na Rostam ndio wenye Dowans wakisaidiwa na JK. Hiyo ya kusema Dowans inasamehe ni JK amewaeleza wafanye hivyo kwani amabanwa kisiasa. Nchi hii tunafanya mambo kama mchezo wa kuigiza.
 
Back
Top Bottom