Gazeti la Raia Mwema na habari za Ki-Facebook!

mgt software

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
13,767
7,115
Wana jamvi,

Kama kuna vyombo vya habari vilivyokuwa vinaaminika ni gazeti la Raia Tanzania, sasa litaanza kufungia vitumbua kama Uhuru baada ya kutegemea uzushi wa facebook na instagram, sijui hawa waandishi wamewaokoteza wapi, au ni wale machangu wa kinondoni maana sehemu ofisi zao zilipo ndio station yao.

Au taarifa hizi wanazipata kwenye mabaa yaliyowazunguka maana waandishi wake, usipowakuta MK Grand, utawakuta Mango gardern, AM Guest and Bar, au Uhuru Peak Baa, sitashangaa sana kuona wanapotosha taaluma zao za weledi.

Raia Tanzania mnashauliwa kuajiri wanahabari wanajijari kuliko kuleta habari za ushabiki wa baa zilizowazunguka.

Taarifa feki inayotokana na gazeti la Raia Mwema hii hapa
attachment.php
 
mtoa mada hivi mbona hujaeleweka hoja hasa ni nini unayotaka kutuambia sisi wananchi maana hoja yako imeonyesha jinsi unaposema wasifu wa ofisi zilipo na si hoja ya habari za kifacebook.

Unapotaka kusema kitu kwanza jenga hoja kisha leta watu wajadili, yaelekea bado unamhemko wa pombe unazokunywa katika sehemu hizo.
 
Wana jamvi,

Kama kuna vyombo vya habari vilivyokuwa vinaaminika ni gazeti la Raia Mwema, sasa litaanza kufungia vitumbua kama Uhuru baada ya kutegemea uzushi wa facebook na instagram, sijui hawa waandishi wamewaokoteza wapi, au ni wale machangu wa kinondoni maana sehemu ofisi zao zilipo ndio station yao.

Au taarifa hizi wanazipata kwenye mabaa yaliyowazunguka maana waandishi wake, usipowakuta MK Grand, utawakuta Mango gardern, AM Guest and Bar, au Uhuru Peak Baa, sitashangaa sana kuona wanapotosha taaluma zao za weledi.

Raia Mwema mnashauliwa kuajiri wanahabari wanajijari kuliko kuleta habari za ushabiki wa baa zilizowazunguka.
kwa kweli hata mm nimeshangaa eti jana usiku uhuru fm wanatangaza slaa amemuandikia barua mwenyekiti wa chadema kuwa anajiuzuru, hahahahaha ni uzushi sana ccm acheni kutapatapa
 
mtoa mada hivi mbona hujaeleweka hoja hasa ni nini unayotaka kutuambia sisi wananchi maana hoja yako imeonyesha jinsi unaposema wasifu wa ofisi zilipo na si hoja ya habari za kifacebook.

Unapotaka kusema kitu kwanza jenga hoja kisha leta watu wajadili, yaelekea bado unamhemko wa pombe unazokunywa katika sehemu hizo.

ni kwa uzushi wao wa kusema Dr. Slaa amejiuzulu tukakimbilia kupata habari kamili kumbe uongo mtupu, tafut gaezeti hili ujisomee ndipo utaona u-face book wao.
attachment.php
 
kwakweli waandishi wao nawajua ni visichana vidogovidogo tu na hali ya hewa mbele ya jengo lao wakati wa usiku inachangia na kale kadereva kao kamoja chembamba kana tumia sigara bwe.ge lazima waandike habari za dizaini hizo ukijumlisha na kelele za mk r.i.p jakalanda lazima waharibu
 
Akili yako isiyojaa hata kibaba unashambulia gazeti la raia mwema wakati lililoandika hiyo habari ni raia Tanzania!!! Unaakili kweli wewe!?
 
Yani Jakaranda kama asingefariki Mwenye baa yaani gazeti lingezidi la Ijumaa na Risasi na Kiu.
 
Akili yako isiyojaa hata kibaba unashambulia gazeti la raia mwema wakati lililoandika hiyo habari ni raia Tanzania!!! Unaakili kweli wewe!?

Nimesahihisha mkuu pole sana kwa kukutwa. lakini wote ni washirika maana mie nimeyakuta kwenye ofisi zao zilizopo Mwinjuma Road
 
Ulitegemea waandike nini wakati habari zao wanachukulia pale jirani MK huku wakiwa wamejiishajipongeza na ile huduma inayopatikana maeneo yale!
Kwa kweli hili gazeti ni kichefuchefu.
 
Wana jamvi,

Kama kuna vyombo vya habari vilivyokuwa vinaaminika ni gazeti la Raia Tanzania, sasa litaanza kufungia vitumbua kama Uhuru baada ya kutegemea uzushi wa facebook na instagram, sijui hawa waandishi wamewaokoteza wapi, au ni wale machangu wa kinondoni maana sehemu ofisi zao zilipo ndio station yao.

Au taarifa hizi wanazipata kwenye mabaa yaliyowazunguka maana waandishi wake, usipowakuta MK Grand, utawakuta Mango gardern, AM Guest and Bar, au Uhuru Peak Baa, sitashangaa sana kuona wanapotosha taaluma zao za weledi.

Raia Tanzania mnashauliwa kuajiri wanahabari wanajijari kuliko kuleta habari za ushabiki wa baa zilizowazunguka.

Taarifa feki inayotokana na gazeti la Raia Mwema hii hapa
attachment.php

Hivi hili gazeti la Raia Mwema si la Jenerali Ulimwengu? Ina maana amechuja kiasi hiki? Hatari.
 
yani siku hizi amezeeka waandishi wake ni wale Mkapa aliowaita kanjanja hawaendi mjini kutafuta habari wanazitafuta kwenye vilabu vya pombe, ndiye huyu huyu tuliyekuwa tunamwamini.
 
Jenerali wanakutia aibu.unaheshima yako kwenye taaluma ya habari.Ushauri wa bure liuze kwa global publishers wawe wanaandika habari za wale wa dada walioenda kugombea ubunge singida na tabora.
 
Back
Top Bottom