Gazeti la Raia Mwema lachakachuliwa ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gazeti la Raia Mwema lachakachuliwa ?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by nguvumali, Jun 8, 2011.

 1. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #1
  Jun 8, 2011
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Niko hapa Mwanza , tangu asubuhi nasubiria nakala za gazeti la Raia Mwema lifike toka Dar. Jibu la wauza magazeti likawa gazeti hilo halijatoka leo.
  Nikapiga simu Dar kwa mdau wangu mmoja, akasema amelitafuta mtaani amelikosa na inadaiwa limechakachuliwa na wazee wa Gamba.
  Binafsi nikampigia simu ISLAM MBARAKA, moja ya staff wa chapisho hilo kupitia simu yake inayoanzia 078688. . . . . . Lakini haipatikani. JE UVUMI YA KUA toleo la leo limechakachuliwa na wapinga maendeleo ni jambo la kweli ?
   
 2. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #2
  Jun 8, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,143
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  ata mimi sijalipata hii sijui imekaaje.wadau watatujuza.
   
 3. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #3
  Jun 8, 2011
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Najaribu kuwasiliana na baadhi ya staff wagazeti hilo bila mafanikio.
   
 4. M

  Mantz Member

  #4
  Jun 8, 2011
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 96
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15

  Litatoka kesho. Walikuwa wanasubiri budget, hivyo kesho litatoka likiwa limeshiba uchambuzi wa budget.
   
 5. Bukanga

  Bukanga JF-Expert Member

  #5
  Jun 8, 2011
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 2,863
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  Wamenunua nakala zote wale jamaa na wamepiga kiberiti
   
 6. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #6
  Jun 9, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,237
  Likes Received: 3,654
  Trophy Points: 280
  Nchi hii bwana,kila kitu wanafisadi wanatamani na akili za watanzania wazifanyie ufisadi!!
   
 7. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #7
  Jun 9, 2011
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  huenda, ngoja tuone ! Maana nchi hii inamambo .
   
Loading...