Gazeti la Rai: Mukama adaiwa kutaka kujiuzulu kisa Nape; Mwenyewe akanusha!

Tangu nianze kuona post zako brother hapa JF leo kwa mbaaali naona point flani hivi,chamsingi kumbuka na wewe ni mbongo hata kama unachakalika US,so kero ya wabongo na wewe inclusivu,funguka hapo ili point yako iwe bright,umeongea as if wewe una dunia yako somehwere,concern ulizotoa ni very true ila umeharibu ulipojitoa binafsi,anyway kula like

- For sure nina my own world ndio maana hatuelewani hapa, tunajaribu kuwaelemisha kwamba Dunia imebadilika na mfano mnayo hapa lakini hamtaki kuelewa, leo Tanzania tuna wananchi wanaoweza kwenda Uwanjani na kujaza kiwanja kwa ajili ya kuona ngumi za Wolper na Wema Sepetu, halafu unasema maneno ya fikra pevu? Are you kidding me or what?

- Tubadilike people tujifunze kwenda na waakati na mazingara, wananchi wanataka mabadiliko sio kulilia kushikilia utamaduni uliopitwa na wakati, sasa hivi bongo tuna UDAKU Industry ambayo huenda ni financially loaded kuliko industry zote hapa nchini sasa where do you fit fikra zako pevu kwenye this kind of UDAKU Industry? I mean ndio mambo ya kisasa haya, so inahitajika adjustments kwenda na wakati!!

LE Biig Shoow!!
 
HIVI HILI NALO LIPO?/ KHAAAAAAAAA ETI NGUVU YA HOJA JAMANI SI MJIITE TUU NGUVU YA HOJA YA MAGAMbA

- Maneno ya hoja za magamba na magwanda hayalisaidii taifa kinachoweza kulisaidia hili taifa ni wananchi na hasa viongozi kuondokana na mawazo mgando sana tuliyonayo!!

Le Mutuz!!
 
William, unadhani CCM imekosa mvuto kwa sababu ya uzee-uzee either kifikra au hata ki-umri? Kuna jingne pengine linaweza kuwa limechangia?
 
- Deal na hoja wachana na mimi fikra pevu as per who's standards? Ndio tatizo kubwa sana huku bongo kila mmoja kujifanya kujua sana, na kutaka kuamulia wengine how to write na how to behave na watu kama wewe mnahitaji kubadilika sana ili mfit na wakati, sio fikra pevu zako lazima ziwe the same to me na kwa kila mtu, get that!!

- Juzi Uwanja wa Taifa ulikuwa umejaa wananchi wanaotaka kuona Wema Sepetu na Wolper wakipigana ngumi, Wacheza Sinema na Wapiga Rap wakicheza mpira, hiii ndio the new generation ya bongo na ndio wapiga kura wa 2015; next time njoo uje uwaletee fikra zako pevu uone kama kuna anayeweza kukusikiliza infact wana tabia moja niliiona pale uwanjani, kama hawataki unachosema wanakutupia chupa za maji na soda na kukuzomea, waliwafanyia wasanii wanaoitwa P square something ikabidi waondoke!!

- My point ni people kama wewe mnahitaji sana kufanya adjustments na haya maneno ya fikra pevu, cause hayana nafasi tena kwenye this new Society, wanachotaka ni the bottom line!!

le Mutuz!!

Le mutuz kwanza nimekatisha tamaa na picha zako zilizowekwa kwenye uzi mmoja. Let leave those aside. Nakubaliana na wewe kuwa hang over ya 2005 bado ipo na itaendelea kuwepo. Maana ililetwa issue ya dini kuwasideline baadhi ya watu, ikafanikiwa, lakini sasa imeanza kutafuna inakuwa kansa ambayo haitibiki. Ilikuja issue ya mtandao ikafanikiwa, lakini sumy yake inaendelea kutafuna. umeona juzi juzi watu huko juu wameanza kuwekeana sumu na kuuana, umeona sasa hivi sheria haina maana tena Tanzania, ila pesa na nguvu. Hizi mbegu zote zinapaliliwa, na zinaendelea kuota, sina hakika kama zitavunwa 2015, lakini am sure tutavuna. Utapeli ndio umekuwa wazi kabisa, nadhani umesikia kuwa ziliibiwa hela ikulu, can you imagine hela "zinaibiwa" ikulu, hazina je? kila kitu kinaenda hovyo mkuu, watu ambao tulisema tuwategemee 2015 huenda wote watakuwa wamekufa...........kwa hiyo hiyo uayosema 2005 tegemea kuwa itakuwa worse.
 
William, unadhani CCM imekosa mvuto kwa sababu ya uzee-uzee either kifikra au hata ki-umri? Kuna jingne pengine linaweza kuwa limechangia?

- CCM haijakosa mvuto mvuto ni tatizo la transition na kukubali kwamba wakati umebadilika na tunahitaji kubadilika, kinachotusumbua ni guidance on how to adjust, tuna Nape na Januari they can be a very big help, lakini ni lazima wapitie hii old establishment ambayo bado haiiamini kwamba times have changed, kwamba leo tuna mtu kama Steve Nyerere who can make his living just because he can talk like the former president,

- CCM inatakiwa sana kufikiria kuhusu kuelimisha viongozi wetu kuhusu maisha baada ya uongozi, wengi wanakaa kwenye uongozi kwa muda mrefu sana, na wakitoka hawakubali wanatumia kila mbinu kuhakikisha kwamba bado wana mizizi ya ndani ya Chama ili waendelee kuwa na big influence hata wakiwa nje,

- Creativity ni tatizo lingine kubwa la CCM, maneno mengi sana matendo hakuna akitokea mwenye mtendo atapigwa vita wee na majungu, I mean huwa siamini ninaposikia kwamba CCM mpaka leo bado inategemea ruzuku toka kwa Serikali, why? Kwa chama ambacho kimetawala miaka 50 ni aibu sana!!

- vikao vya ndani ni vingi mno, kamati ni nyingi mno, Viongozi ni wengi mno, halafu mazingara ya rushwa ndani ya chama wakati wa uchaguzi ni just too much, ni hili la rushwa kwenye kutafuta nafasi za uongozi wetu ndilo linawakimbiza vijana wengi kwenda kwingine ambako hakuna haya matatizo, in most areas CCM tumebakia kivuli chetu tu, ukienda kwenye majengo yetu ni aibu tupu, why? Siku ile ya Jangwani niliona Vijana Jazz Band oooh my God, sio tena ile bendi ambayo zamani tulikuwa tunashinda huko Kinondoni Hall kuwafuata, vyombo ni kivuli kutupu!!

- CCM tupunguze idadi ya Viongozi ni wengi mno, meaning kwamba tunatumia gharama kubwa sana kuwa-maintain!

Le Mutuz!!
 
Le mutuz kwanza nimekatisha tamaa na picha zako zilizowekwa kwenye uzi mmoja. Let leave those aside. Nakubaliana na wewe kuwa hang over ya 2005 bado ipo na itaendelea kuwepo. Maana ililetwa issue ya dini kuwasideline baadhi ya watu, ikafanikiwa, lakini sasa imeanza kutafuna inakuwa kansa ambayo haitibiki. Ilikuja issue ya mtandao ikafanikiwa, lakini sumy yake inaendelea kutafuna. umeona juzi juzi watu huko juu wameanza kuwekeana sumu na kuuana, umeona sasa hivi sheria haina maana tena Tanzania, ila pesa na nguvu. Hizi mbegu zote zinapaliliwa, na zinaendelea kuota, sina hakika kama zitavunwa 2015, lakini am sure tutavuna. Utapeli ndio umekuwa wazi kabisa, nadhani umesikia kuwa ziliibiwa hela ikulu, can you imagine hela "zinaibiwa" ikulu, hazina je? kila kitu kinaenda hovyo mkuu, watu ambao tulisema tuwategemee 2015 huenda wote watakuwa wamekufa...........kwa hiyo hiyo uayosema 2005 tegemea kuwa itakuwa worse.

- Picha ulizoziona ni my personal life na aliyeziweka ni mimi mwenyewe kwa sababu sijavunja sheria yoyote ya jamhuri kupiga picha na Wolper na Wema Sepetu, ambao wananchi kwa maelfu walijaa Uwanja wa Taifa kuja kuwaona naona na wewe hapo bado una mawazo ya kizamani, unaamini kwamba Uwanja wa Taifa ni kama zamani kwamba ni mpira na magwaride ya taifa, hapana sasa mambo yamebadilika mkuu, sasa unaweza kuwa Uwanja wa kukutanisha wadada wawili wacheza sinema kupigana ngumi! ha1 ha! ha! ha! na wananchi wakajaa kwa kulipa TSH. 10,000; na by the way I am single so relax na leo mambo yote yatakuwa Runaway kama kawaida!!

- Well tumeanza kuendelea ndio maana sasa hela zinaanza kuibiwa hata Ikulu, tatizo ni kwamba System ya chama kimoja iliziba sana mianya ya wananchi wa kawaida kuwa matajiri, unless uwe na connections za Serikali na ninashangaa sana kwamba mpaka leo Serikali bado inaendelea kuwa the Source ya utajiri wa wananchi wachache wenye connections za huko, wengi wa matajiri wetu wazawa wahasibu wa Serikali, Jeshi, Jeshi la Polisi, mashirika ya umma, na bado wengi wao bado wapo makazini mpaka leo, I mean eti unahitaji PhD kuelewa wanakuwaje matajiri? Kwa wenzetu source kubwa ya utajiri wa wananchi wao ni Benki zao through mikopo, na talents zao!

- Kuna wakati nilikuwa na imani sana na Wapinzani, lakini nimegundua kwamba hata wao hili la umasikini linawathiri sana kwenye misimamo muhimu kwa taifa, wananchi ni masikini lakini wengi wetu tumeonjeshwa utamu wa pesa somehow na maisha mazuri, tunawaona wenzetu wenye maisha mazuri ambao tunajua kwamba wamepata kwa njia chafu tena rahisi sana, sasa kwa nini tusiiige? K wa mfano hizo hela zilizoibiwa Ikulu, wewe wafuatilie wanaohusika utakuta wanaishi maisha ya ajabu sana, yasiyo fanana na mishahara yao kabisa, lakini kesi itachukua miaka mitano kuisha, na wataishia kuachiwa maana wahusika wa kesi watakuwa wamestaafu, mafaili yatapotea na simply hakutakuwa na mwenye interest tena na kesi. Tizama kesi ya Balozi wetu mmoja ambayo ilianza na Awamu ya Nne na sasa inakaribia kumaliza nayo muda wake wa uongozi na wala haina dalili zozote za kuisha soon!!

- Ni taifa la wapiga kelele tu, mafisadi hoja ilianzia na Wapinzani leo tukiwauliza iliiishia wapi sijui jawabu litakuwa nini, I mean kila sekta ni makelele tu, baada kuandikwa kwenye media kidogo tu basi yanaisha, Waziri Maige amepigiwa kelele wee, lakini baada ya kutoka tu, basi kelele zimeisha ndio siasa zetu za uongo uongo na unafiki mwingi sana; 2015 hakuna lolote la ajabu litakalotokea viongozi wenye pesa nyingi watashika uongozi na wasio nazo watapigwa chini, it does not matter vyama wanavyotokea, wewe tizama mtu aliyemshinda Nape kwenye maoni CCM ya ubunge, leo ameshindwa hata kupata kiti cha UWT cha CCM Kata, I mean hata Banana Republic huwa haiko hivyo!!

- Kwa wale wenye nia za kuleta mabadiliko ningewaomba muwe carefull sana mnapoongelea 2015, maana mtishia ku-raise expectations za wananchi kama huko nyuma na matokeo tayaishia kuwa yale yale, kwa sababu wengi wenu mko nje mnafikiria siasa za bongo ni za TV na Mitandao kama huko, no uchaguzi wa kata, wilaya na mkoa nilioshiriki majuzi, hakukuwa na anybody who cared about it, ilikuwa something huku bongo inaitwa fitna tu!

- I mean huu ni mtizamo wangu tu, sisemi kwamba ni masahafu wa ukweli wa saisa za hapa sasa hivi, wengi tunaweza kuwa na mitizamo tofauti!!

LE Mutuz!!
 
- For sure nina my own world ndio maana hatuelewani hapa, tunajaribu kuwaelemisha kwamba Dunia imebadilika na mfano mnayo hapa lakini hamtaki kuelewa, leo Tanzania tuna wananchi wanaoweza kwenda Uwanjani na kujaza kiwanja kwa ajili ya kuona ngumi za Wolper na Wema Sepetu, halafu unasema maneno ya fikra pevu? Are you kidding me or what?

- Tubadilike people tujifunze kwenda na waakati na mazingara, wananchi wanataka mabadiliko sio kulilia kushikilia utamaduni uliopitwa na wakati, sasa hivi bongo tuna UDAKU Industry ambayo huenda ni financially loaded kuliko industry zote hapa nchini sasa where do you fit fikra zako pevu kwenye this kind of UDAKU Industry? I mean ndio mambo ya kisasa haya, so inahitajika adjustments kwenda na wakati!!

LE Biig Shoow!!

Brother hata huko your world uozo kwenda mbele,hivi ushoga,kubwia unga na kupopromoka kwa maadili nchi za magaribi sio tatizo? Udaku wa wabongo unatengenezwa na system iliyopo ambayo imejaa udaku na mipasho,fualtilia Bunge uone wawakilishi wetu wanavyomwaga udaku.
Viongozi wetu walio tayari kutiririka Samunge kwa babu na kujenga miundo mbinu fasta huku wakiacha kuboresha huduma za afya hiyo ndio akili?si udaku bro?
Wewe uko karibu sana na system funel,unachokiona kwa wananchi wanaojazana kuona ngumi ni matokeo ya mfumo,kama system ingekuwa serious na kuleta ustawi wa wananchi nani angepata mda wa kushangaa ngumi za wema?
Kwa kuwa hili lina kuiritate anza ulipo, waweza anzisha kampeni ya kuhamasisha hicho unachokiamini ili tutoke hapa tulipo.
 
- Picha ulizoziona ni my personal life na aliyeziweka ni mimi mwenyewe kwa sababu sijavunja sheria yoyote ya jamhuri kupiga picha na Wolper na Wema Sepetu, ambao wananchi kwa maelfu walijaa Uwanja wa Taifa kuja kuwaona naona na wewe hapo bado una mawazo ya kizamani, unaamini kwamba Uwanja wa Taifa ni kama zamani kwamba ni mpira na magwaride ya taifa, hapana sasa mambo yamebadilika mkuu, sasa unaweza kuwa Uwanja wa kukutanisha wadada wawili wacheza sinema kupigana ngumi! ha1 ha! ha! ha! na wananchi wakajaa kwa kulipa TSH. 10,000; na by the way I am single so relax na leo mambo yote yatakuwa Runaway kama kawaida!!

- Well tumeanza kuendelea ndio maana sasa hela zinaanza kuibiwa hata Ikulu, tatizo ni kwamba System ya chama kimoja iliziba sana mianya ya wananchi wa kawaida kuwa matajiri, unless uwe na connections za Serikali na ninashangaa sana kwamba mpaka leo Serikali bado inaendelea kuwa the Source ya utajiri wa wananchi wachache wenye connections za huko, wengi wa matajiri wetu wazawa wahasibu wa Serikali, Jeshi, Jeshi la Polisi, mashirika ya umma, na bado wengi wao bado wapo makazini mpaka leo, I mean eti unahitaji PhD kuelewa wanakuwaje matajiri? Kwa wenzetu source kubwa ya utajiri wa wananchi wao ni Benki zao through mikopo, na talents zao!

- Kuna wakati nilikuwa na imani sana na Wapinzani, lakini nimegundua kwamba hata wao hili la umasikini linawathiri sana kwenye misimamo muhimu kwa taifa, wananchi ni masikini lakini wengi wetu tumeonjeshwa utamu wa pesa somehow na maisha mazuri, tunawaona wenzetu wenye maisha mazuri ambao tunajua kwamba wamepata kwa njia chafu tena rahisi sana, sasa kwa nini tusiiige? K wa mfano hizo hela zilizoibiwa Ikulu, wewe wafuatilie wanaohusika utakuta wanaishi maisha ya ajabu sana, yasiyo fanana na mishahara yao kabisa, lakini kesi itachukua miaka mitano kuisha, na wataishia kuachiwa maana wahusika wa kesi watakuwa wamestaafu, mafaili yatapotea na simply hakutakuwa na mwenye interest tena na kesi. Tizama kesi ya Balozi wetu mmoja ambayo ilianza na Awamu ya Nne na sasa inakaribia kumaliza nayo muda wake wa uongozi na wala haina dalili zozote za kuisha soon!!

- Ni taifa la wapiga kelele tu, mafisadi hoja ilianzia na Wapinzani leo tukiwauliza iliiishia wapi sijui jawabu litakuwa nini, I mean kila sekta ni makelele tu, baada kuandikwa kwenye media kidogo tu basi yanaisha, Waziri Maige amepigiwa kelele wee, lakini baada ya kutoka tu, basi kelele zimeisha ndio siasa zetu za uongo uongo na unafiki mwingi sana; 2015 hakuna lolote la ajabu litakalotokea viongozi wenye pesa nyingi watashika uongozi na wasio nazo watapigwa chini, it does not matter vyama wanavyotokea, wewe tizama mtu aliyemshinda Nape kwenye maoni CCM ya ubunge, leo ameshindwa hata kupata kiti cha UWT cha CCM Kata, I mean hata Banana Republic huwa haiko hivyo!!

- Kwa wale wenye nia za kuleta mabadiliko ningewaomba muwe carefull sana mnapoongelea 2015, maana mtishia ku-raise expectations za wananchi kama huko nyuma na matokeo tayaishia kuwa yale yale, kwa sababu wengi wenu mko nje mnafikiria siasa za bongo ni za TV na Mitandao kama huko, no uchaguzi wa kata, wilaya na mkoa nilioshiriki majuzi, hakukuwa na anybody who cared about it, ilikuwa something huku bongo inaitwa fitna tu!

- I mean huu ni mtizamo wangu tu, sisemi kwamba ni masahafu wa ukweli wa saisa za hapa sasa hivi, wengi tunaweza kuwa na mitizamo tofauti!!

LE Mutuz!!

Mkuu naona umeeleza mengi sana. Unajua picha zinaeleza mengi kuhusu mtu, kuna baadhi ya watu wanaweza kusoma tabia ya mtu kwa kuangalia picha anazopiga, kwanini, anapiga wapi na anapiga na nani. Lakini naheshimu sana uhuru wako, na una haki ya kuutumia kama upendavyo. Unajua kwa sasa watanzania tunakuwa na hofu kubwa sana na watu ambao tunatarajia wawe viongozi wetu au wanataka kuwa viongozi wetu. Unajua kuna baadhi ya watu wakipewa nafasi, wao priority ni wanawake tu, na kwao success ni kuwa na idadi kubwa ya wanawake, na wanatamba kabisa huyu yule hapa kule etc etc it has been proven that they invest their resources and time thinking about that than actually working. So be careful with what pics you post, they may be misunderstood, and cost you. You can see this fact wakati wa bunge.

Back to issues. Sikubaliani na wewe kujustify wizi wa hela zetu Ikulu na kusema ni kwa sababu tumekuwa matajiri. Mimi binafsi siamini kama hizo hela zimeibiwa kweli, ni kwamba zimechukuliwa na mtu fulani ndani ya ikulu kwa kazi fulani binafsi na kisingizio kimekuwa ni kuibiwa, ni wizi na ufisadi ulele tunaoupigia kelele.

It is a fact that kwa sasa wezi na mafisadi ndio wameshika hatamu, it is also a fact that CCM saa iko in shambles than never (this does not mean opposition is in order), na wajanja wanatumia weakness hiyo kukwapua wanavyopenda. Hao unapouliza walioanzisha kelele za ufisadi wako wapi, nadhani unaona wanachofanywa sasa. Wengine wanawekewa sumu, wengine wanatishiwa kuuawa kila kukicha, na wengine wanakamatwa na polisi.

Tatizo letu kubwa kwa sasa ni CCM na sera zilizopo na mtazamo kuwa CCM ni juu ya kila kitu. Mwenyekiti wa chama, Mkuu wa majeshi, Mkuu wa TISS na hata mbunge kwake kwanza ni maslahi ya chama, pili ni maslahi yake binafsi na tatu ni maslahi ya taifa. Hii mentality ikiendelea kuwepo hakuna lolote litakalobadilika hapa Tanzania, hata aje kiongozi mahiri kiasi gani. Unless tu-overhaul system yote. Kitu ambacho CCM kamwe haiwezi kukubali. Na kama Profesa Baregu alivyosema, as long as watanzania wataendelea kuwa wanyonge, hasa wanyonge wa kielemu, 2015 inaweza kuwa worse that 2005.
 
Bongolander siongezi wala kupunguza neno. Umeanza na umemaliza kila kitu. Bila shaka Le Mutuzi amekuelewa vizuri sana.
 
- Mwenye tatizo na picha zangu ni wewe sio wengine sasa jiongelee wewe badala ya kuingiza wasiokuwepo; kama ninakuelewa kiongozi mzuri ni yule asiye na picha na hata akiwa nazo zisiwe za kina dada wetu, unategemea mimi sikilize huu ushauri? REALLY?

- Mengine knowing you as I do naona n ikuachie hapa, maana naona it is way out of topic!!

Biig Shoow!!
 
Wewe Acha ujinga hapa jf, kila wanapokushauri unafikili wanakuonea wivu na hao madada poa, una ulimbukeni sana wewe, angalia umri umisha umisha kutupa mkono. We mtu wa aina gani kila wanapokushauri unawaona wabaya? Ni bora ukae kimya usijibu! Unaaibisha jf
 
Source Gazeti la Rai Nguvu ya Hoja

Katibu mkuu wa CCM a.k.a Magamba amemwandikia barua nwenyekiti wake wa CCM Rais Jakaya Kikwete kuomba kujivua gamba na sababu kuu ya kujiuzulu huko ni mvurugano ndani ya chama hicho na msababishi mkuu ni Katibu mwenezi wa chama bwana Nape Nnauye kuchukua majukumu yote ya chama na kufanya maamuzi kama atakavyo yeye.

Sasa maamuzi ya kujiuzulu kwake yatategemea mwenyekiti na kamati ya CCM kuamua kujiuzulu kwake au la.

Concern

Nape Nape iko wazi yeye ndio mwenyekiti, katibu mkuu, msemaji wa chama. Bila shaka kuna kundi anallilitumikia kwa maslai binafsi. Nashukuru kwa kuongeza kasi ya kukipeleka chama kuzimu
sasa nakubaliana na gatheti la rai
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom