Gazeti la Rai: Mukama adaiwa kutaka kujiuzulu kisa Nape; Mwenyewe akanusha! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gazeti la Rai: Mukama adaiwa kutaka kujiuzulu kisa Nape; Mwenyewe akanusha!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Return Of Undertaker, Jul 12, 2012.

 1. Return Of Undertaker

  Return Of Undertaker JF-Expert Member

  #1
  Jul 12, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 2,376
  Likes Received: 8,527
  Trophy Points: 280
  Source Gazeti la Rai Nguvu ya Hoja

  Katibu mkuu wa CCM a.k.a Magamba amemwandikia barua nwenyekiti wake wa CCM Rais Jakaya Kikwete kuomba kujivua gamba na sababu kuu ya kujiuzulu huko ni mvurugano ndani ya chama hicho na msababishi mkuu ni Katibu mwenezi wa chama bwana Nape Nnauye kuchukua majukumu yote ya chama na kufanya maamuzi kama atakavyo yeye.

  Sasa maamuzi ya kujiuzulu kwake yatategemea mwenyekiti na kamati ya CCM kuamua kujiuzulu kwake au la.

  Concern

  Nape Nape iko wazi yeye ndio mwenyekiti, katibu mkuu, msemaji wa chama. Bila shaka kuna kundi anallilitumikia kwa maslai binafsi. Nashukuru kwa kuongeza kasi ya kukipeleka chama kuzimu
   
 2. Domhome

  Domhome JF-Expert Member

  #2
  Jul 12, 2012
  Joined: Jun 28, 2010
  Messages: 2,004
  Likes Received: 1,054
  Trophy Points: 280
  Duu, inamaana ile Kauli ya Makamba (baba) kuwa..."..Nape Kakifanya Chama mali yake.." yaweza kuwa kweli!!
  Nahisi Nape na Mukama, wanazitumikia Kambi mbili tofauti ndani ya CCM.
   
 3. Maishamapya

  Maishamapya JF-Expert Member

  #3
  Jul 12, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,280
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Hivi sababu siyo taarifa ya kamati yake juu ya hali ya chama ambayo ilisababisha Makamba kutoka na yeye kuingia? Alichodhani amekiainisha kwenye taarifa yake alipoingia ndani ameona mambo hayaendi hivyo na hivyo kufanya yeye na Makamba kuwa sawa sawa. Katibu Mkuu wa CCM hafanyi chochote isipokuwa kile kilichoamuliwa na JK pamoja na familia yake.
   
 4. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #4
  Jul 12, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Watatafutana sana hata kwa tochi mchana kweupe mwaka huu! pop corn zangu ziko wapi tafadhali,SENEMA imeanza
   
 5. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #5
  Jul 12, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Napita tu. Washalikoroga wacha walinywe.
   
 6. S

  SHEMGUNGA JF-Expert Member

  #6
  Jul 12, 2012
  Joined: Jan 13, 2012
  Messages: 653
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Ohh! Ngoja nikaoge mie
   
 7. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #7
  Jul 12, 2012
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,499
  Likes Received: 1,080
  Trophy Points: 280

  Kuhusu yusuf makamba namtetea nape!
  Makamba alimwachie Lowassa apige dili ya kuuza jengo la umoja wa vijana nape akapigia kelele lowassa.
  Makamba akakasirika na kuamua kumvua uanachama nape...hivyo hawa wana ugomvi binafsi.
   
 8. MNAMBOWA

  MNAMBOWA JF-Expert Member

  #8
  Jul 12, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,984
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  tunajuwa cdm mnamuogopa nape mnapindisha maneno2..
   
 9. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #9
  Jul 12, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Je hili nalo Upinzani wanahusika??
   
 10. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #10
  Jul 12, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,199
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Ni asubuhi lakini Ngoja nipitie bar ninywe turker mbili za baridiiii kabla hii sinema kuanza maana hii ni trela
   
 11. Kunta Kinte

  Kunta Kinte JF-Expert Member

  #11
  Jul 12, 2012
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 3,660
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Hana lolote huyu mzee, ameshaona vuguvugu limewashika pabaya sasa wanatafuta njia ya kutokea
   
 12. M

  MKALIKENYA JF-Expert Member

  #12
  Jul 12, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,198
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 133
  Hahaha CHADEMA watakuwa wanamchochea!
   
 13. Tutafika

  Tutafika JF-Expert Member

  #13
  Jul 12, 2012
  Joined: Nov 4, 2009
  Messages: 1,395
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 160
  Hakuna Gazeti la Rostam ninaloliamini, ngoja niendelee na kazi zangu!
   
 14. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #14
  Jul 12, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Kweli nimeamini nape anawanyima usingizi,mti wenye matunda siku zote ndio upopolewa kwa mawe,nape mtu mdogo tu peke yake anawatoa kamasi,mnaweweseka nae
   
 15. Jakubumba

  Jakubumba JF-Expert Member

  #15
  Jul 12, 2012
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 1,627
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  NGoja nikalale, huu umbea wa mda huu utanikondesha bureee!
   
 16. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #16
  Jul 12, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Haijawahi kutokea Mwenyekiti akakubali barua ya mtu kujiuzulu!Kama ulipata uongozi kwa majungu basi utaondoka kwa majungu.
   
 17. R

  Ramanengo Member

  #17
  Jul 12, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  afadhali ajiuzulu tu maana ni mzigo kwenye chama
   
 18. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #18
  Jul 12, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,791
  Likes Received: 2,399
  Trophy Points: 280
  Mukama hajui kuwa CCM ina wenyewe?na wenyewe ni familia ya MALECELA,MWINYI,KARUME,NNAUYE,KAWAWA,MALIMA,RUPIA,NYERERE
   
 19. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #19
  Jul 12, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,539
  Likes Received: 10,462
  Trophy Points: 280
  Chadema=Tembo Nappe=kelele za chura.....!!
   
 20. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #20
  Jul 12, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Who cares? Go ccm, go now, go rot in hell
   
Loading...