Gazeti la NEWAFRICAN: Heshima ya Tanzania yaanza kurudi

Ila ACACIA wana mambo ya kitoto sana, wakaanza na yale yale ya mlungula, kupindisha maneno, kuleta za kuleta humu na magazetini, Raia wapi, tumechachamaa wizi wizi, wakazidisha kwa wanasheria uchwara, oohh tutashitakiwa sijuwi nini, raia wapi, duh, wakaona maji mazito, kumbe kweli dola ya TZ sio kamaa ya siku zile, wakafyata, wakaja tukae chini...hahahaha, balaa kabisa, sasa hii ita send message to all those corporations in TZ, that the wind has changed, the people have changed, it has be a win win situation on both parties, otherwise wapeleke upupu wao kwingine watuachie rasilimali na maliasili, haziozi bana, wakija vizuri poa tu, ila si kihivi..
Walizoea Status quo. Just business as usual. Walitegemea tungeteteleka.
Rais Magufuli's unwavering stand against UFISADI/Corruption wakaona huu ni NI MWAMBA mgumu sio kama ya migodini.

Wakajaribu kufanya kama ulivyosema "Blackmail" Bado mwamba ulikuwa HAUTOBOKI. Na kumbe mmliki halisi si ACACIA bali ni Barrick ya Canada. Hawana hamu.

This should send a clear message to who ever wants to do business with us. On top of that MSIMAMO wa Magufuli has sent shivering message to whoever got used doing business in this country in unorthodox manner as if there were no government in place.
Acha i sink vichwani mwao even as we pray for our President for good health etc.
. Ahsante mkuu.
 
Hata Siku moja mbwa hawezi kuwa mkali bila ya mafunzo ya mwenye mbwa. Hivyo huwezi tenganisha mafanikio ya jpm na ccm.
Japokuwa mafanikio ni ya Watanzania wote bila kujali vyama. Tukifika hapo na kujielewa taifa litapona. Ama vipi mkuu?
 
Bora gazeti hilo kuliko,kuliko magazeti yetu mengine ambayo kutwa kuchwa ni kumchora akiwa kichwa kimechongoka.
Nimekumbuka jambo lingine. Magazeti yetu nayo yaweze kuwa CHANYA si Negative reporting tu isiyojenga.
 
Back
Top Bottom