Gazeti la NEWAFRICAN: Heshima ya Tanzania yaanza kurudi

Ni toleo lipi la hilo gazeti?
Post ya kwanza haikuwa na picha ya hilo gazeti. Lakini mtu mwingine akaweka kama Msamaria mwema. Maana mimi sikukumbuka kupiga picha. Ukifungua post juu utaiona mkuu. Ahsante.
 
Kwenye hili la makinikia lipo poa, Na tubadili Sheria tuchukuwe zaidi ya 4% ya mapato ya madini, ingefaa 51% hivi. Lkn haya yote iwe kwa manufaa ya WaTZ maana hali ngumu madeni ya watumishi hayalipwi, increments hakuna. Hatari sana
 
Ninakuelewa kuwa ni vizuri nasi TUFAIDIKE.
 
Back
Top Bottom