Gazeti la NEWAFRICAN: Heshima ya Tanzania yaanza kurudi

Alipe madeni ya ndani ili kuwe na mzunguko wa fedha ili mapato ya kodi yaongezeke
Mambo yakiwa sawa. UCHUMI hujishughulikia wenyewe. Madeni ya ndani YATALIPIKA tena haraka tukishirikiana kuona mali yetu INARUDISHWA. Usiwe na wasi wasi.
 
Nilicheka tu, lazima tuwe na sense of humour...
Ila sio siri, huyu JPM kama kweli tutampa mkono na yeye kufanya maamuzi mazuri na magumu, haki ya nani in 10 yrs time, tutawaachia vumbi manyang'au ...
Ni ukweli usiopingika.
 
kwahyo tumesha sahau njaa nk kwenye hili
Njaa si KUIBIWA bali ni HALI ya HEWA. Tutafika wakati umwagiliaji utapewa kipau mbele. Na kwa kuwa watu watamudu pembejeo za kilimo maana watakuwa na hela nyingi.Hilo tuliache kwanza. TURUDISHIWE HELA yetu TUINUE maisha ya Watanzania.
 
hakuna kufurahia ujinga huu kwa kumpata mwizi mmoja tuu
 
Njaa si KUIBIWA bali ni HALI ya HEWA. Tutafika wakati umwagiliaji utapewa kipau mbele. Na kwa kuwa watu watamudu pembejeo za kilimo maana watakuwa na hela nyingi.Hilo tuliache kwanza. TURUDISHIWE HELA yetu TUINUE maisha ya Watanzania.
Ila ACACIA wana mambo ya kitoto sana, wakaanza na yale yale ya mlungula, kupindisha maneno, kuleta za kuleta humu na magazetini, Raia wapi, tumechachamaa wizi wizi, wakazidisha kwa wanasheria uchwara, oohh tutashitakiwa sijuwi nini, raia wapi, duh, wakaona maji mazito, kumbe kweli dola ya TZ sio kama ya siku zile, wakafyata, wakaja tukae chini...hahahaha, balaa kabisa, sasa hii ita send message to all those corporations in TZ, that the wind has changed, the people have changed, it has be a win win situation on both parties, otherwise wapeleke upupu wao kwingine watuachie rasilimali na maliasili, haziozi bana, wakija vizuri poa tu, ila si kihivi..
 
Back
Top Bottom