President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 31,548
- 89,516
Mwenye macho haambiwi tazama
Unaniuliza mimi, au mwandishi wa gazeti au msajili? Be specific.Sasa kwanini Msajili ahangaike na marehemu?
Wanatumia nguvu kubwa kupambania na marehemuSasa kwanini Msajili ahangaike na marehemu?
Ni vzr kujifariji kwamba CHADEMA yafa kifo cha mende.
Ndo nalisikia leo litakua la gazet la wanambogamboga
Uninibia mimi au mwandishi wa gazeti?Ni vzr kujifariji kwamba CHADEMA yafa kifo cha mende.
Ww uliyeleta gazeti humu na mjomba wako mwandishi wa gazeti.Uninibia mimi au mwandishi wa gazeti?
Hamna kanisa linaweza kuwa na gazeti la kipuuzi hivyoHili sio gazeti la kanisa?