Gazeti la Mwananchi wamlilia mwandishi Azori Gwanda

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,915
141,875
Leo ni siku 100 tangu mwandishi wa gazeti la Mwananchi apotee, hivyo wafanyakazi wa kampuni ya MCL wameviomba vyombo vya dola kuongeza juhudi za kumtafuta ndugu Azori.

Source BBC Dira ya Dunia!
 
ukiona land cruiser inakufuata aisee ruka kimbia hata kamj upo na mkeo mwache na hata kama mpo nyumbani katikati ya game chomoa kimbia(ila ujifut)
 
Nadhani waweke tu matanga....ya saa8 ni muda gani sasa..??? Now duna ya technology mtu hapotei mda wote huo...bali anakuwa amerestishwa ni piece
 
Afu kuna wajinga wanadayi kuna amani ya kutosha.hawajui kidogo huzaa kikubwa.
 
Back
Top Bottom