Gazeti la Mwananchi Kulikon? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gazeti la Mwananchi Kulikon?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by AZIMIO, Jun 22, 2012.

 1. A

  AZIMIO Senior Member

  #1
  Jun 22, 2012
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 188
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Wadau mwenye data naomba anifahamishe,nimefuatilia siku za hiv karibuni gazeti pendwa la Mwananchi wanaludia ludia zile katuni za Kingo na siku nyingine hakuna kabisa,vp mkataba na mshkaji ndio umeisha au jamaa amekosa ubunifu tena?mwneye data tafadhari wengine sisi ni wadau wa Kingo.
   
 2. grafani11

  grafani11 JF-Expert Member

  #2
  Jun 22, 2012
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 15,534
  Likes Received: 342
  Trophy Points: 180
  Ni kweli kabisa mkuu, hata mm iliniboa sana kuona marudio ya katuni moja wiki nzima, mfano ni ile aliyokuwa na mademu ambao baada ya kumchuna Kingo ikabidi avuliwe nguio na uongozi wa baa.
  Nyingine ni ile ya Kingo akisukuma kitoroli cha supermaket baadaye mwanamke akatokea na kutoa kitu mfano wa mdoli kweye kitoroli,
  Zipo nyingi lakini just to mention a few. Ilikuwa inaboa mpaka basi.....
   
Loading...