Gazeti la Mwafrika 1959

Itokee sasa gazeti lichapishe maudhui yanayofanana na haya itakuaje?

Bado eti kunawatu wanasema wazungu ni watu wabaya. View attachment 1867535
Da mwanangu naliomba hilo gazeti nilikopi, umenikumbusha mbali sana, na hayo magazeti ya long time yanapatikana wapi wa jamani.
Maana ukisikia Pijo sidhani kama ninyi watoto mnaelewa jamani pijo ilikuwa si mchezo na speed ilikuwa 80km/hr na umalizi lakini
 
Mbona una niquote vibaya aisee, soma Gazeti mkuu
Hapana, sijakuquote vibaya Mkuu...!

Ni kuwa nimeona the same gazeti somewhere na kuna Mhindi ameeleza vizuri kuwa Familia yake, kuanzia na Baba yake ndio walikuwa wanaimport hizo spare Nairobi na DSM mpaka leo hii na wakati huo walikuwa wanauzia mashirika na Bodi za kahawa

Ndio maana nikakuuliza hivyo kama una uhakika na hilo la kusema ni wachagga?
 
Nanatokaje hapa tulipo au tutulie tu mpaka atakapo zaliwa mwenye maono
 
Wachaga akili zenu zina funza kwl jambo dogo mnashindwa kulielewa, siwashangai Mkoa wenu unaongoza kwa watoto wenye kwashiakor. Kuona tu tangazo mmeshaaanza mambo ya ukabila. Ni jamii ipi ilikuwa haifanyi uchaguzi wa viongozi wao. Wachaga wana mafanikio gani km kabila wakati kuna wachaga wengi maskini, nenda vijijini kwao. Kule Rombo hakuna hata mwanaume wa kuchimba mtaro. Ni njaa na pombe imewamaliza. Acheni sifa za kipuuzi ndugu zenu wengi bado maskini sana kuliko hata makabila mengine.
Du. Wachaga wamejitambua siku nyingi. Halafu utasikia baadhi ya wajinga wakisema mafanikio yao ni kwa sababu ya kuiba!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…