Benaire
JF-Expert Member
- Dec 13, 2011
- 1,958
- 306
Kwa mtazamo wa kina yaani content analysis....utagundua kuwa CUF hawajapinga yale aliyoyaongea Lipumba bali wamemkana Lipumba kwa yale aliyoyaongea....
Suala jingine ni kuwa hatuilaumu CUF kwa kukumbatia udini na ndo maana tumekuwa tukiitetea kila kukicha....ila kauli ya Mwenyekiti ndio imezua kizaazaa kwani inapingana na falsafa ya CUF ya haki sawa kwa wote.....
Mwisho Chama kama chama kinaweza kuwa na masheikh,wachungaji,waganga wa jadi n.k ila wanatekeleza mambo ya kitaifa bila ubaguzi....CHADEMA hakina wachungaji tu,kina wasanii wa muziki,kina mawakili,kina maprofesa,kina masheikh n.k....na hii ndio maana ya kuwa chama cha wananchi....una kusanya makundi mbali mbali ya jamii...!