Mungu amlaze pema Munga Tehenan. Lile gazeti lilikuwa si mchezo.
cc Mtambuzi. Fufua hili gazeti mkuu. Tutakusapoti.
R.i.p Munga Tehnan..uliyatenda vema yakupasayo kipindi ukiwa dunian.
Sema labda hauna tabia ya kusoma magazeti. JITAMBUE na gazeti ndugu yake MSHAURI WAKO, yalikuwepo hadi mwaka 2008.Nilikuwa mdogo sana wakati wa gazeti hilo.....wala nlikuwa silielewi
Nilikuwa mdogo sana wakati wa gazeti hilo.....wala nlikuwa silielewi
mbona kama naliona kwenye meza za magazeti siku hizi?
R.I.P Munga....miss JITAMBUE a lot.